Kwa kauli mzee Makamba aliyoitoa tena tena mbele ya mkutano mkuu kuwa watu wazuri hawafi, inafikirisha na kuhuzunisha.
Ukitizama umri na busara alizotegemewa kuwa nazo mzee huyu bado tunashindwa kuamini kuwa J. K Nyerere alikua mtu mbaya, mzee Mkapa alikua mtu mbaya, hayati Karume alikua mtu...