wcb

  1. Nyendo

    Rayvanny aaga rasmi WCB- Wasafi, ashukuru kwa fursa aliyopewa ya kuwa mwanafamilia wa Wasafi

    Msaani Rayvanny ameweka vedio fupi kwenye akaunti yake ya Instagram, anayoeleza kuwa alikuwa WCB, Wasafi kwa muda wa miaka 6, amepata vitu vingi ikiwemo tuzo kubwa mbalimbali pia kuwa msanii wa kwanza kupanda katika majukwaa makubwa Duniani. Amesema kuwa anamshukuru Diamond kwa kumpa nafasi...
  2. Expensive life

    Harmonize kweli wewe ni kiboko ya WCB

    Huyu mwamba kipindi anajitoa WCB yaliongeleka mengi sana kuwa Hana muda atapotea. WCB walikuwa wanajiona wao ndio baba wa muziki hapa Tz hivyo ukiwa kinyume nao safari yako kimuziki itaisha. Hawa jamaa si watu wazuri kabisa kwanza hawapendi ushindani wanapenda wao tu ndio wafanikiwe huu ujinga...
  3. B

    Kama shabiki wa Wasafi, WCB, ikiwapendeza mumsaini HIDDEN

    Jamaa anajitahidi kufikiria wakati wa kutunga, ana Melody nzuri. Atawafaa sana
  4. B

    Hivi ni kweli Rayvanny katoka WCB?

    Jana wakati wanatambulishwa wasanii wa WCB Bungeni, sikuona Rayvanny akitambulishwa, au ndio ukweli ametoka WCB
  5. U

    Nashauri Zuchu atoke WCB haraka maana Diamond anatembelea nyota yake, hakuna mapenzi

    Ikiwa dhahiri kabisa kuwa zuchu ni Kati ya wasanii watatu wakubwa Tanzania na Africa mashariki boss wake diamond plutnum amekuwa akiingia pesa nyingi sana kupitia nyimbo za zuchu au zile alizomshirikisha zuchu, hivyo diamond kiuhalisia ni chawa wa chinichini wa zuchu. Kwakuwa zuchu Sasa...
  6. John Haramba

    Rayvanny kaambiwa alipe milioni 500 aondoke WCB

    Mtangazaji mkongwe wa mambo ya showbiz na udaku Tanzania, Maimartha amezungumzia juu ya taarifa za Rayvanny kuoma kuondoka katika lebo ya WCB. Haya ndiyo maneno yake aliyoyasema wakati akihojiwa na BONGO TRENDY TV: “Habari zao ninavyojua ni kuwa Rayvanny aliomba kutoka WCB, akaambiwa atoe...
  7. reymage

    New couple in town

    Hatimaye tetesi zimekuwa kweli! Diva wa music Bongo Sukari, Zuchu anatoka na boss wake aliyemtoa kimuziki yaani Diamond Platnumz. Jana wamenaswa Hyatt Regency wakijiachia full mahaba kiss and touch everywhere. Yasemekana anataka kumuoa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Kabla ya kuwa na...
  8. Cannabis

    Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

    Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na watu kuwa dhana ya kwamba yeye ni msaliti. Amesema alifanyiwa fitna nyingi zilizopelekea yeye...
  9. sinza pazuri

    Hanstone atatoboa nje ya WCB?

    Kwanza lazima tukubaliane huyu dogo ana kipaji kikubwa sana. Ndio maana wengi walikuwa wanasubiri ujio wake akiwa chini ya WCB. Na ilitegemewa ujio wake ungekuwa na kishindo. Lakini bahati mbaya amezinguana na uongozi wa Wasafi na baada ya hapo akaachia ep yake ya Amazing. EP yake japo...
  10. Francis fares Maro

    Rayvanny nimekunyanyulia mikono

    Wakati mwengine ukweli usemwe, nilikua nadhani mziki wetu umepoteza dira kwasababu ya kiki, skendo na mambo mengine yasiokua na maana na tena yanaharibu kabisa watoto wetu huko uswahilini. Tokea Jana nimekua nasikiliza nyimbo nzuri sana za kijana huyu, tungo zake aisee, nimeangalia videos duh...
  11. sky soldier

    WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno

    WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno, Kuna waliofata nyayo za kijana lakini hali hairidhishi, kuna lebo kama kings music ya alikiba na konde gang ya harmonize hizi lebo wasanii wake wamekuwa wakipata wakati mgumu kutoboa ikafika kipindi hadi wasanii...
  12. Slowly

    WCB Wasafi kiwanda Bora cha mziki mjini

    Watanzania tumejaaliwa majungu chuki na wivu , hzo ndizo zawadi Bora kabisa tulizoachiwa, na Kwa kweli tupo vizur na tunazitendea haki,.....thus why Sisi ni moja kati ya nchi kumi zenye umaskini wa kutupwa duniani, .... hata hvyo katika sekta ya burdani Tanzania, WCB isifananishwe na utopolo...
  13. B

    Hivi Ali Kiba alimaanisha nini alipoimba kwa kusema 'Ushamba mwisho kwa mtoto wa Kariakoo'?

    Wakulungwa inakuwaje? Kwa wale mliowahi kukaa na kuishi mitaa ya kariakoo au mpaka sasa mnaishi hapo Kariakoo naombeni mnijuze kwa wale mnaojua hii kauli ya watoto wa Mjini akina KINGKIBA wa maeneo ya kariakoo wanayopenda kutumia kuwa "USHAMBA MWISHO KWA MTOTO WA KARIAKOO" wana maana gani maana...
  14. Slowly

    WCB wamewekeza Sana ni halali Yao kuvuna walichokipanda

    Jina WCB ndo jina maarufu la kisanaa Kwa sasa.....Diamond Platnumz hajatokea from no where , nakumbuka mwaka 2010 nikisikiliza radio free Africa kulikuwa na kipind cha kushindanisha wasaniii na sku hyo walishindanisha Diamond na Alli Kiba , kiukweli Alikiba aliongoza Kwa Kura dhidi ya diamond...
  15. Z

    Harmonize: Safari yake kwenda International nje ya WCB inavyowatesa Wasafi

    Habari za hasubuhi wanajamii. It's very clear kwamba kwasasa Vita ya muziki Kati ya wasafi na kondegang imepamba Moto. Ukifatlia kwa umakini utagundua wasafi wanapambana kadri wawezavyo kumsusha Kondeboy of which haitowezekana sababu njia zote za kufanikiwa kimuziki Harmonize anazijua. Anaijua...
  16. devor

    Rayvanny alitumia chance aliyoipata WCB

    Kiukweli msanii rayvanny mziki wake au kile anacho kiimba kimechokwa kwakweli yaani staili niile ile habadiliki anaimba utoporo tu Fatilia nyimbo yake korona,kifo, nyimbo zake zinachosha kusikilizwa kwa kweli
  17. Hisha Sorel

    Is Sukari by Zuchu Indicative of WCB and Tanzanian Artists Abandoning Anti-Black,Africanism,and Colourism in Music Videos? If so,thank Kendrik Lamar

    I still remember watching Kendrick Lamar and SZA music video “All the stars” and how it made me feel about blackness, beauty, mysticism, and power. Until then, I had not yet seen a positive portrayal of African-ness. Compared to its European counterpart, African culture, scenery, and its people...
  18. happyxxx

    Tumpe Zuchu kura za ndio na WCB Wasafi

    ingia kwenye link kisha vote https://www.mtvmama.com/info/aljvas/vote jamani mjitaidi kuvote ata kama uwapigii wengine akikisha umempigia mate wangu zuhura aka zuchu category ni breakthrough act
  19. Mad Max

    WCB naona Nyimbo juu ya Nyimbo, Kuna nini?

    Naona mwisho wa Mwaka ndani ya Mwezi mmoja WCB wanaachia pini juu ya pini zaidi ya Nne ambayo sio kawaida. Lavalava ft Diamond Rayvanny ft Diamond Baba Levo ft Diamond Diamond ft Koffi Olomide Zuchu & Rayvanny Hizo tatu za mwanzo kama wanamshambuliana "Kibonge ila Kwenye Muziki Bado...
  20. Leak

    Ugomvi wa WCB na media, Wakazi amtaka Babu Tale kutotumia dini kuficha maovu yake. Aahidi kumuanika asipo sema ukweli

    Wasalaam, Wakazi amemtaka Babu Tale kusema ukweli kuhusu ugomvi wa Diamond na baadhi ya media kuliko kujificha nyuma ya dini . Namnukuu wakazi kupitia ukurasa wake wa instagram "Ndugu @babutale kama umeamua kufunguka kuhusu machafu yanayotokea nyuma ya pazia kwenye tasnia, BASI FUNGUKA... Ila...
Back
Top Bottom