weight

  1. ukwaju_wa_ kitambo

    Hevy weight Mc Professor Jay with "Machozi, jasho na damu album

    ALBUM YA PROFESOR JAY "MACHOZI ,JASHO NA DAMU https://www.facebook.com/100064569174258/posts/pfbid0Eksw2k3qTSg3kzXd5H6BtXzEYYNiNtGTXA6K24WvMf2U6zETpBsMxgtCTF6L1u2yl/?app=fbl "Machozi Jasho na Damu.. ni jina la kutaja albamu ya kwanza kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Kitanzania...
  2. Ziroseventytwo

    Boxing heavy weight mbona Afe Ajagba hazungumzwi sana

    Hakuna cha Wilder, Fury, Joshua wala nani. Kwa sasa kuna mwamba m1 anaitwa Afe Ajagba. MnaNigeria huyo. Anapigana uzito wa juu. Baba! Ukimaliza round 3 wewe unabahati. Jamaa anapiga ngumi nzito. Kuna jamaa alikimbia pambano. Mpaka sasa hajapoteza pambano lolote. Ningependa kuona mapromota...
  3. T

    Boxer wa zamani Larry Homes adai heavy weight champions wa sasa wasingetoka salama enzi zake.

    Mwana masumbwi wa uzito wa juu Duniani Larry Homes amesema wapiganaji wa sasa wa ngumi wasingetoka salama enzi wake akiwa ulingoni. Homes amasema ni kweli kua hawa wana masumbwi wa uzito wa juu wa sasa kina Joshua, Tyson, Wilder na wengine kina kibonge wasingetoa upinzani ila wasingechukua roud...
  4. I

    Naomba msaada wa kujibu maswali haya

    Naomba msaada 1. Planet X has a mass thrice that of the earth and radius four times that of the earth. Calculate the weight of 80 kg mass on that planet 2. A spaceship is 1012 Km from a certain star. The force of attraction between the spaceship and star is 50 N. Calculate the distance between...
  5. C

    Mazoezi ya Ndani: Zoezi la kuruka kamba

    Tangu nilipogundua umuhimu wa mazoezi kwenye mwendo wa kawaida wa maisha, nimejaribu hili na lile, kuona linalonifaa zaidi. Katika jaribujaribu mara kwa mara nimeongeza vikolezo mbalimbali kwenye mazoezi yangu na kuyaboresha kidogo. Nimeongeza vikolezo hivyo kwa malengo ambayo binafsi nayaona...
Back
Top Bottom