Habarini wanandugu.
Nimekuja kwenu naomba ajira mim ni fundi welding nina cheti.
Nina uzoefu kwenye arc pia nina uzoefu wa wastani kwenye MIG welding
Namba yangu hii 0763329715
Jamani kama mtu amemaliza chuo cha ufundi veta amepata certificate ya level II (VC2) na Level III (VC3) anaweza kuajiriwa sehemu gani au anaweza kuomba kazi sehemu gani naombeni msaada jamani.🙏🙏🙏
Nakuja kwenu ndugu zangu naomba kwa wenye uzoefu na wenye taarifa sahihi kuhusu biashara ya welding (kuchomelea) naomba kujua
gharama ya vifaaa vinavyohitajika,
Aina ya vifaa na Bei zake
Ubora wa Kifaaa na Madhaifu ya vifaa husika
Makadirio kwa vifaa vyote mpaka fundi anaanza kuchomelea Geti...
Plastic welding Ni Kazi nzuri Sana ukiiendesha kisasa, yaani uwe na eneo la kuhifadhia vitu/vyombo vya wateja/kalakana, uwe na umeme. Vitu vinavyohitajika Ni; Electronic gun kwa kutobolea matundu na kuyeyushia plastics, Wire mesh laini, makret yaliyopasuka kwa kuungia plastics za wateja, hivi Ni...
Habari!
Kwa mahitaji ya urembo wa mageti, madirisha, milango, balcon na vitanda usisite kutucheki tukuhudumie.
Pia tunafanya kazi yeyote ya casting.
Karibu bei zetu ni za kishindani na nafuu.
Tupo Mbeya mjini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.