"Maisha yamekuwa magumu hadi ukienda kanisani kipindi cha maombi unalia na kuomba kwa uchungu watu wanafikiri umezama kwenye maombi kumbe ni uchungu wa maisha magumu."
Wakubwa Habari...
Nina swali kidogo kuhusu hawa jamaa maarufu kwa BETTING huko twitter mbona Yale Majamvi yao ya STAKE kubwakubwa ukiscan kwenye betslip scanner ya paripesa yanakataa?
Ni mimi ndio sielewi ?
Ama wanashirikiana na paripesa kuingiza watu mkenge?
Ama ile option ya betslip scanner...
Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malaya, wengine kwa waganga, wengine ni kwenye perfumes za bei mbaya, wengine kwenye simu, wengine kwenye magari ya kifari.
Kule pesa yako nyingi iendako, ndiko kwenye madhabahu yako.
Mojawapo ya maswali aliyoulizwa Zelenskyy leo na watu wa Trump katika mkutano wa hovyo wa waandishi wa habari wa Trump na timu yake ni kwa nini havai suti Oval Office/Ikulu ya Marekani!
Aliyemuuliza swali alisema Wamarekani wengi sana wanatatizwa na kitendo cha Zelenskyy kutokuvaa suti akiwa...
Katika Ukurasa wa Mtandao wa NIVURUGENIKUVURUGE kuna Taarifa pamoja na Video ya Mzungumzaji akisema kuwa karibia Wanawake wote ambao Diamond anakuwa nao Kimahusiano huwa wanashindwana na hata Yeye kuwaacha kupitia sababu zifuatazo za Mama yake na kwamba Zuchu anazivumilia tu kwakuwa analazimisha...
Wadau hamjamboni nyote?
Jenerali CQ Brown muda wake wa kuhudumu akiwa Mkuu wa.majeshi unaisha mwaka 2027
Ametumbuliwa akiwa kwenye ziara ya kikazi kusini mwa marekani na taarifa amezipata kupitia mitandao ya kijamii
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Reuters:
Trump fires top US...
Aise, nimekuwa nikiandika nyuzi mbalimbali humu, nilizo shuhudia kutokana na mahali nilipoishi. Currently, I'm an online man, nimepitia maisha mbalimbali kuanzia 2011 hadi sasa. Ila kila ninapoandika Uzi, kuna watu nawaita people with low IQ. Mara nyingi nasema, if you don’t have facts...
Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo.
Ni Bora ukaamua kumtoa kafara mzazi mmojawapo ili awe msukule wa kuleta utajiri utakaotumika...
Mabinti
Feb inamalizika
Umru unaenda
March tunaongelea robo Mwaka angalia yapi unapitia
Niwakumbushe tu kweli maisha magumu lakini KUNA jambo nimeona niwaase Leo hiii
Sio kila anaekutongoza anakupenda
Wengine wametumwa uzisome namba
Kumbuka na wewe ulieolewa huyu mwanaume kabla ya kukuoa...
Wakuu
Baada ya kuwa busy na shughuli ya ndoa tangu Ijumaa baada ya mechi na KMC, Aziz Ki ameanza kwenye kikosi cha Yanga leo kinachoshuka Dimbani saa kumi jioni dhidi ya Singida Big Stars.
Swali la kujiuliza ni muda gani amepata maandalizi kamilifu? Je, Kocha Miloud Hamdi hawaamini wachezaji...
Shika neno hili. Kuna mtu ukimkopesha Hela, kila mara unakuwa mtu wa kupoteza simu na mtu msahaulifu.
Mtu mwingine ukimkopesha Hela Yako, anakupeperusha, unajikuta bila sababu yoyote umehamia mbali na eneo la mdaiwa wako.
Mtu mwingine ukimkopesha Hela, unajikuta unaanza kuandamwa na makesi ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni picha ya kumbukumbu nayowaleteeni hapa Jukwaani ikiwa inaonyesha Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya Nne ambaye pia ni Mwanajeshi mstaafu lakini pia waweza kumwita Jasusi Imara na Komandoo wa Mikakati .Akikumbatiana kwa tabasamu na...
Wakati nchi wanachama wa SADC na EAC wakikubaliana kuhakikisha amani inapatikana mashariki mwa Congo, taarifa za chini chini zinaeleza kuwa wanajeshi kati ya 700 na 800 tayari walishawasiri nchini Congo kuongezea nguvu jeshi la serikali hiyo. Chanzo cha habari, Reuters, kimesema kwamba, ndege ya...
Siku ya Mtandao Salama ni mpango wa kimataifa unaofanyika kila mwaka kila Jumanne ya pili ya mwezi wa Februari, ili kuongeza uhamasishaji kuhusu matumizi salama ya mtandao. Ilianzishwa mwaka 2004 na tangu wakati huo imekuwa tukio muhimu linalowahamasisha watu kote duniani kufikiria kuhusu...
Katika mijadala mingi kuhusu dini na imani, kuna mkanganyiko mkubwa kati ya neno mpagani na mtu asiyeamini kabisa uwepo wa Mungu (atheist). Nimetumia neno wapagani kwenye kichwa cha habari ili kuvuta usikivu wako, lakini lengo la makala hii ni kufafanua tofauti kati ya makundi haya mawili na...
Ni wakati sasa wa Kanisa Katoliki kwenda level nyingine na kuachana na kufanya mambo ambayo kila mtu anaweza kuyafanya vizuri.
Kanisa linapaswa kujikita kutoa special education na sio tena universal education ambayo sasa inatolewa na taasisi nyingi tu nchini.
Kwa kuwa Kanisa lengo lake sio...
Hakika kama Spika ulipokuwa ofisini kwako ulikuwa na nafasi ya kuelewa mengi na kwa undani zaidi.
Hivyo kama ilivyo, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na dhahiri anakuwa adui wa shetani. Tumeelewa.
Sasa kwa kuenzi huo ukweli aupendao mwenyezi Mungu tumekuelewa na tutausambaza kila kona ya nchi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.