Siku zote Urusi amekua akikingia kifua Armenia, na yupo hadi na base pale, ila ilipobainika Urusi hana chochote cha maana kwenye medani za vita baada ya aibu anayopata Ukraine, ghafla Azerbaijan wakaanza kuchakaza Armenia.
Na mtanange haujaishia hapo, kunao hawa Kyrgyzstan na Tajikistan...