Tunaomba chikola aitwe taifa stars. Accuracy yake akiwe mbele ya goli ni kubwa sana, nahisi jamaa ni mbrazili Naomba kocha na tff wamuongeze taifa stars.
Hicho kipaji kikuzwe. Accuracy yake mbele ya goli ni ya kimataifa level za UEFA champions league.
Pia kama kuna wazawa wengine waliocheza...
Usifanye kosa la kupuuza historia yake kwa muonekano wake mpya wa leo, wengine ni maji tu yaliyopoa yamerudi ubaridi ila kwenye moto yatarudia hali yake ya umoto.
Usijifanye kipofu kupuuza historia yake bali hakikisha kuwa unajua kipi kilikuwa nyuma ya historia yake hiyo na je kuna namna ya...
Shigongo ametoa surprise msibani kwa Grace Mapunda (a.k.a Tesa). Shigongo ametamka bila hofu kuwa Grace alikuwa mpenzi wangu (mchepuko) . Watu wote (wake kwa waume) msibani wakabaki wameduwaa.
Huyu ndiyo mwanaume sasa, haogopi "kuku" (mke) aliyeko ndani kwa sasa. Maana huyo kuku kafugwa na...
Nilimsikia Lisu akisema kama tungelikuwa na utaratibu wa kuwachagua MAJAJI , basi ni majaji wachache sana na majaji wa Rufaa wangelikuwa katika ofisi hizo.
Mana yake to me ni kuwa no meritocracy is applied katika kuchagua majaji/majai wa Rufaa hao na wataalamu wengine!
Habari za asubuhi waungwana......
Wakati mwingine kukaa bila kazi ya kufanya inafanya kichwa kizurure kifikra na kupitia mawazo mbali mbali.......
Katika kuzurura huko kimawazo nikajikuta nimewakumbuka baadhi ndugu, jamaa na marafiki ambao imetokea wameangukia kwenye pendo la hawa wadada wa...
Mpaka nimekumbuka ile kauli ya akili za kuambiwa, unatakiwa kuchanganya na zako
Ukitembelea mjini MMU utakutana na nyuzi kibao za kuwaponda wanawake, watoto wa kike, vitoto vya 2000, nyuzi za kupinga ndoa (kataa ndoa), uanachama na wanachama wa Kataa Ndoa n.k Kila mtu anamsemea mwanamke kwa...
Mpo salama Wakuu!
Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yôte Kwa yôte yeye ndiye aliibuka kidedea.
Sasa Kwa Mwaka huu tutakuwa na orodha ifuatayo.
1. Midekoo
2. Palina
3. binti kiziwi...
SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader
"Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha makomandoo wasomi, Sayeret Matkal. Alijeruhiwa katika uvamizi wa ndege ya Ubelgiji iliyotekwa nyara...
Leo, katika Siku ya kumuenzi Mwl. Nyerere, tunaheshimu urithi wa baba wa taifa la Tanzania na bingwa wa umoja, amani, na elimu duniani kote. Mwalimu Nyerere alishiriki katika Programu ya Uongozi ya Kimataifa ya Marekani mwaka 1961. Programu ambayo ilimpa fursa ya kufahamu mfumo wa kisiasa wa...
Kama ilivyo kuongea ni tiba kwa muongeaji basi hata kusikiliza nako ni muhimu kwa kusaidia wengine na kujisaidia wewe pia
Kuongea na kusikiliza ni mambo ambayo yote yana uzito wake na yana umuhimu wake,kwahiyo asitokee mtu akasema kuongea ni bora kuliko kusikiliza laa! Anafeli bali yote mawili...
Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini
Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu.
Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Npashe la leo.
Kwa wengi wa waliozaliwa mijini, hawaijui adha ya kupika kwa kuni mamilioni ya akina mama, wanawake, mabibi zetu, mashangazi zetu, wake zetu, watoto wetu, wapenzi wetu, au kwa kifupi wanawake wa Tanzania, wanaoteseka kwa kupikia...
kodi
kufuta
kuongoza
kutoa
mkono
nishati
nishati safi
nishati safi ya kupikia
njia
pongezi
rais
rais samia
ruzuku
safi
samia
serikali
totalenergies
wengine
yako
l will be honest
Niliyo shuhudia within this 5 years kama Mpiga Kura kuipata kura yangu kazi mnayo.
Kama wapiga kura ni sisi. wananchi tunaona yote Haya.
Tafuteni alternative . 2025 kazi ipo.
Asanteni.
Mhadhara - 34:
Tukizungumzia msiba ni tukio la ghafla - msiba hutokea ghafla. Kwa watu ambao wana maisha ya kawaida matukio ya misiba yanawakuta wafiwa kwenye hali mbaya ya kiuchumi. Hivyo ni muhimu kumchangia hela mfiwa za kumsaidia.
Kuhusu ndoa/harusi:
Siku hizi matukio ya harusi yamekuwa ni...