wenje

The Coast Province (Swahili: Mkoa wa Pwani) was one of Kenya's eight provinces. It covered the entire country's coastline on the Indian Ocean. Its capital city was Mombasa. It was inhabited by the Mijikenda and Swahili peoples, among others. The province covered an area of 79,686.1 km2 .

View More On Wikipedia.org
  1. sonofobia

    Pre GE2025 Wenje: Tunahitaji kuwa kama Zelensky, tutapinga udikteta uchwara ndani ya CHADEMA

    Je, ndani ya Chadema kuna dikteta uchwara? Kama yupo ashughulikiwe mara moja kwa maslahi ya taifa.
  2. Rula ya Mafisadi

    Ezekiah Wenje ana sifa zote za kuendelea kuwa Mwanachama wa CHADEMA, akifukuzwa na Mbowe afukuzwe

    Si Lissu, Heche Wala Mbowe wote walipata baadhi ya fedha zao toka kwa wadau mbalimbali ikiwemo Viongozi wa CCM, Hivyo Wenje pia alipata ufadhili hivyo hivyo kwa hiyo kama ni kosa wengi wametenda kosa hilo hivyo asamehewe na kazi iendelee Mambo ya Uchaguzi yaachwe hivyo hivyo na yabaki kuwa ni...
  3. Li ngunda ngali

    Tetesi: Wenje kujitoa Chadema kabla ya kufukuzwa

    "....kachanganyikiwa!" "...hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku ya Ziara ya Rais Samia hivi karibuni atakapo kwenda kuzindua ile Meli mpya." Duru.
  4. Mindyou

    Pre GE2025 Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA alia kunyang'anywa uhalali wa kupiga kura kwenye Uchaguzi. Amtaja Wenje na Kigaila

    Wakuu, Sarakasi za Uchaguzi wa CHADEMA zinaendelea kuwa moto. Akiwa anaongea siku ya leo, moja ya mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA aliyrjitambulisha kama Wilfred Alfred Mgina amesema kuwa amenyang'anywa uhalali wa kupiga kura kwenye Uchaguzi na nafasi yake kupewa mtu mwingine. Wilfred amesema...
  5. K

    Wakiwa Canada Wenje alikuwa mzubaifu kuliko Lema

    Wenje na Lema wote walienda Canada kukimbia ugaidi wa wapinzani enzi za Magufuli Lema alienda tena akiwa na madeni mengi Tanzania aliweza kufanya online trading za forex na coins akapata pesa na maisha yake yakaenda vizuri. Aliendelea na harakati. Wenje hakufanya lolote yaani alikuwa kama mtu...
  6. comte

    WENJE: KUBAGAZA MARIDHAINO NI UCHURO-WANACHEMA 400 WALITOKA JELA KWA SABABU YAKE

    https://www.youtube.com/watch?v=qAERflDyoZU
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Kunani Mbowe hakemei kabisa Rushwa katika kampeni zake?

    Mimi toka nianze kumsikiliza Mbowe katika kampeni zake sijawahi kumsikia akikemea rushwa. Hii inatupa picha gani ndugu wadau?
  8. Mkalukungone mwamba

    Lema amjibu Wenje kuhusu Join The Chain Asema ni muongo

    Fikiria anakuja mtu anayetaka kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Ezekia Wenje huyo maana yake ni kwamba Mwenyekiti akiwa hayupo huyo ndiye anakuwa Mwenyekiti wa chama taifa. Taswira ya mtu muongomuongo hivi, anayebebwabebwa na watu wengine kama kina Abdul..kimsingi ndiyo maana nilisema...
  9. Msanii

    Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu aliyoyatoa K/Mkuu John Mnyika, kwa nini Wenje bado ni mwanachama wa CHADEMA?

    Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA. Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul...
  10. Rozela

    Aibu ya Mwaka: Ina maana mkutano wa Wenje ulikuwa na lengo la kulaghai wanachama? Je, ametumwa na nani?

    Kwa taarifa ya katibu mkuu wa CHADEMA, ni wazi kuwa Press ya leo ya ndugu Wenje ililenga kulaghai wanachama na wajumbe kwa lengo la kujipatia kura. Je, alitumwa na nani kufanya hivyo? Je, amewafanya wajumbe kuwa wajinga kiasi hicho? Kwa taarifa ya Mh. Mnyika ni wazi kuwa hata mambo mengine...
  11. J

    Wenje na Lema karibia watatutegulia Kitendawili cha Washirika wa Shambulio la Tundu Lisu!

    Ni swala la Muda tu na hii itawashangaza wengi RIP shujaa Magufuli Ahsanteni sana
  12. S

    Lissu akimjibu Wenje na kusema yote hata yale ambayo alikuwa hataki kusema mtamuita mropokaji? Tukumbule Lissu alikuwa nje ya nchi wakati huo

    Hili ndio swali langu kwa timu Mbowe na vibarqka wengine plus MA-CCM wote wanaotaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti. Lema na Lissu, mjue Mbowe sio wa kumsitiri tena kwa lolote. Yuko kimya ila msifikiri Wenje yuko peke yake. Huyu katumwa. Wameona wana hali mbaya sasa wameona waibue tuhuma ili...
  13. M

    Godbless Lema: Nitaongea na wanahabari kesho kujibu mapigo ya Wenje na genge lake

    === Hiki ndicho alichokiandika Godbless Lemma baada ya Press Release ya Ezekiah Wenje. Hii inaitwa Jino kwa Jino. Pia soma Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA Ezekiel Wenje: Dkt Slaa alikuwa anataka aifute CHADEMA kwa msajili wa vyama. Leo...
  14. M

    UCHAGUZI CHADEMA: Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe

    === Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe. Kwaakili hii Mbowe na Wenje wameshashindwa huu Uchaguzi Kwa lugha nyepesi Heche na Lissu hawajapewa tuhuma yoyote hivyo ni watu safi wachaguliwe.
  15. N

    Heche: Ezekiah Wenje ama ni mjinga au hajui anachokisema

    Hiki ndicho alichokiandika John Heche muda mfupi baada ya Press Release ya Ezekiah Wenje
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Kama hawa akina Wenje ndio watu ambao Mbowe anawategemea basi Wanachadema watakuwa wamepoteza

    Aiseeh! Uongo unasifa zake. Unakanuni zake. Uongo unahitaji watu wenye Akili kubwa ili kuufanya uaminike na uonekane ni KWELI. Sasa nimemsikiliza Wenje nikaishia kucheka tuu. Kama hawa ndio watu ambao Mbowe anawategemea na ndio nguzo itakayobaki ya CHADEMA Basi Wanachadema watakuwa wamepoteza...
  17. Mindyou

    Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!

    Wakuu, Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain. Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na fedha hizo kwani Godbless Lema ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kampeni hiyo
  18. Li ngunda ngali

    Aibu: Wenje ashindwa kujibu maswali kuntu aishia kujibu blah-blah

    Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi. Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi? Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika? Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
  19. Rula ya Mafisadi

    WENJE TUSAIDIE: Je, Lissu huyu aliyetaka kumpindua Mbowe akiwa gerezani ni Lissu yule yule aliyemwambia Rais Samia kabla ya maridhiano Mbowe aachiwe?

    Wenje naona Kuna kitu hakiko sawa kwake nadhani ni PRESHA ya Uchaguzi inamzidia, Akiwa Wasifi TV alituambia ni Lissu aliyeasisi Maridhiano na moja ya sharti alilotoa kwa Rais Samia ni kumwachia huru Freeman Mbowe bila masharti, Sasa kama alitaka Freeman Mbowe aachiliwe halafu wakati huo huo...
Back
Top Bottom