The Coast Province (Swahili: Mkoa wa Pwani) was one of Kenya's eight provinces. It covered the entire country's coastline on the Indian Ocean. Its capital city was Mombasa. It was inhabited by the Mijikenda and Swahili peoples, among others. The province covered an area of 79,686.1 km2 .
Mgombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti Ezekiah Wenje amesema anasikitishwa sana na kushindwa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili CHADEMA (Tundu Lissu).
Amesema tokea ashike nafasi hiyo hajawahi kuitisha hata kikao kimoja cha kamati hiyo ya maadili na hivi sasa kuna watovu wa nidhamu wengi...
Wenje yuko live anamvua nguo Tundu Lissu. Asema hana sifa za kuwa kiongozi wa chama ni muongo muongo sana.
Tuhuma zote anazotoa hazina uthibitisho ni za uongo uongo tu.
Anaandika kiongozi mwandamizi Mkoa wa Shinyanga.
"Habari za Usikuu wajumbe wa Mkoa wa Shinyanga na Kahama
Ugeni wetu umeingia tayari Ukiongozwa na Kaka yetu Sauti na Dada yetu Gimbi Massaba ambae ni mke wa kaka Wenje,
Tayari leo wamefika Viunga vya Kahama na wameanza Mipango ya Kukutana na...
Mimi kwa mawazo yangu huyu wenje ni pandikizi la Mbowe tuombe mtu mwingine achukue fomu kama Heche kwa nafasi hiyo mbona kimya.
Nawatakia Krismas njema
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Lissu anagombea Uenyekiti kwa hasira baada ya kuletewa Wenje ili amuondoe kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti aliyokuwa ametia nia.
Akiwa anajibu maswali kwenye kipindi cha ClubHouse, Lissu amesema, "Yanayoendelea Chadema chanzo chake ni hizo hela za Abdul nilizozikataa ambapo Wenje alikuwa...
Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba.
Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili...
Mara paap ghafula bin vuu unakutana na Abdul ,mtoto wa Rais somewhere kwenye function tusikokujua sisi watazamaji kufumba na kufumbua ukataladadi umekaa na kijana amevaa kanzu.wewe Wenje mara kutambulishana unagundua ni Abdul mtoto wa Raisi wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Hee na namba...
Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba.
Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu.
Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai pesa zake za Matibabu, Abdul ikabidi amfuate Tundu Lissu Tegeta kichukua Documents za matibabu ili...
Ulitafakari kwa makini baadhi ya sentwsi na sababu za Lissu kuamua kuachana na umakamu hoja ya msingi kaificha.
Lakini ukweli uliojificha ni hasira zake dhidi analoamini lina kiburi cha fedha za Abdul na mama yake kutaka kumpora cheo ndani ya chama. Lissu aliamini kabisa akishindana na Wenje...
Ni kiri wazi kuwa kwa maelezo haya ya wenje baada ya kumsikiliza kwa makini! Kuna maswali mengi yanakosa majibu kutoka kwa wenje! Ni upumbavu wa hali juu kuwa haki yako iliyo kisheria mtoto wa rahisi ndio akufanyie mpango ulipwe as if hayo madai anayedaiwa ni mama yake!
Swali langu kwa wenje...
Ni mbinu ya kuzuia asidaiwe? Katika mahojiano yake na chombo cha habari, Wenje amesema kwamba alitoa fedha zake nyingi kumkopesha Lissu wakati anajiuguza, na kwamba hajalipwa mpaka leo.
Najiuliza, Lissu amechagua kundi la watu wanaomdai, awachafue ili kuwapunguza kasi? Kwa nini asilipe madeni...
Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.
Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu...
Leo Wenje ndio anajitokeza kujitetea ila siku zote alikuwa kimya.
Swali: Unaweza kuzushiwa tuhuma nzito kama hizo halafu ukakaa kimya kisa tu hukutajwqlwa kwa jina lako?
Mwanzoni watu walidhani Lissu anaongea kitu ambacho hakipo, ila sasa ni wazi yote aloyoyasema yana ukweli na namshauri...
Baada ya Miezi zaidi ya mitano Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kutuhuma hadharani kwamba kuna hela za Mama Abdul na Abdul zilipelekwa kuvuruga uchaguzi wa Chadema.
Lissu pia akaenda mbali zaidi na kuanza kutaja watu na miongoni mwao ni Mtu anaetajwa alikuwa ndiye Dalali wa kuunganisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.