Fikiria anakuja mtu anayetaka kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Ezekia Wenje huyo maana yake ni kwamba Mwenyekiti akiwa hayupo huyo ndiye anakuwa Mwenyekiti wa chama taifa.
Taswira ya mtu muongomuongo hivi, anayebebwabebwa na watu wengine kama kina Abdul..kimsingi ndiyo maana nilisema...