To declare my interest mi siyo mwanasiasa ila nafuatilia siasa hasa vituko vya JOB pale mjengoni.
Tangu awamu ya tano ilivyopita ambayo ilijaa KUSIFU NA KUABUDU kwingi ili upate kacheo,Sasa wanaCCM wote walikuwa kimya kupima mama anataka nini ili akuteue. Hotuba yake leo imeonesha wazi kitu...
tuwaombe wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm wamsaidie mkuu mkuu mkoa dsm pamoja na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga ni ngumu mkuu mkoa kuzunguka kila mtaa kujua wamachinga ambao wamerudi upya katika maeneo ambayo waliondoka wenyewe kwa hiyari .maeneo ayo yote kuna viongozi wapo na...
Yale mabanda maarufu ya wamachinga, kwa uchunguzi wangu binafsi nimegundua viongozi wa serikali za mtaa ndio walikuja na mabanda mengi barabarani na ndio walikuja wanapangisha wamachinga barabarani..so tusishangae zoezi hili kusua sua.
CCM YATAKA WAWAKILISHI WAKE KUWA KARIBU NA WANANCHI
Songea, Ruvuma
19 Septemba, 2021
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewataka viongozi wa chama hicho kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara kwa ajili ya kutafuta...
Yaani salama mimi sio wa siasa kutokea Chdema ni mpiga debe wa siasa kwa ujumla iwe CCM au wengine,sasa hili la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema naona limenigusa ni sawa na kutekwa kwa Mwenyekiti wangu wa CCM, awe wa ngazi ya Taifa au ya Tawi .
Nihisivyoa utekaji wa mwenyekiti wa Chadema...
IGP Sirro amesema atawashtaki kwa wakurugenzi wa halmashauri wenyeviti wazembe wa serikali za mitaa ili ikiwezekana waondolewe na nafasi zao kujazwa na watu wengine.
Sirro amesema wenyeviti wa serikali za mitaa wanapaswa kusimamia ulinzi katika maeneo yao na kwamba hapa Tanzania askari mmoja...
Kama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi.
Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa...
Jeshi la polisi wilaya ya Mtwara limeombwa kuongeza ushirikiano na viongozi wa vijiji katika kuimarisha ulinzi kufuatia wenyeviti wa vijiji viwili kunusurika kushambuliwa na wananchi likiwemo tukio la mwenyekiti wa kijiji cha Mtemba kubomolewa nyumba yake wakati akimwokoa mtuhumiwa anayedaiwa...
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.
Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?
Yohana nauliza kwanini Freeman...
Athari za uongozi dhaifu zilizoletwa na uchama kuanzia wenyeviti wa vitongoji hadi madiwani zinavyokinzana na maendeleo.
Tafiti ndogo niliyoifanya mikoa mbalimbali hasa mkoa wa Kagera nimegundua kwamba mwaka wa ushindi wa kishindo ambao wapinzani walisusa uchaguzi viongozi wa CCM wengi wao...
Hayati Magufuli ndiye aliyesababisha wabunge wengi kurudi bungeni kwa ubabe wake alioufanya.
Madiwani nao wamebebwa kushika hizo nyadhifa kwa hisani ya ubabe wa hayati Magufuli.
Wenyeviti wa vitongoji ndiyo kabisaa hata uchaguzi hatukufanya walipitishwa bila kupingwa, yote hiyo ni hisani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.