Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda.
Ungekuta huku kwetu akiguswa na Mbwa anakimbia kwenda kunawa utadhani wa maana. Hawa jamaa si tu huyu kawagusa. Wanakula naye msosi.
Badala ya kuiga teknolojia na wawekeze huko utawakuta wanajiona wao...
Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka.
Ukiachana na hayo makundi mawili kuna hili kundi la vijana kutoka JKT wanarudishwa makwao for fun na wanapewa wengine nafasi kwa...
Hellow!
Kama una ndugu Yako anaenda Kwa Waganga usicheke naye, aweza kukutegea mtego na kukumaliza,
Imeandikwa ,adui wa mtu ni yule wa nyumbani mwake, yule aliye karibu, mke, mume,shangaji nk nk,
Ndugu ZANGU ni akina nani? Aliuliza swali hili Yesu, na akajibu, ndugu ZANGU ni Hawa wasikiao na...
Ninawahakikishia, Siku mtakayotoa Kauli Moja tu ya kwamba, HAMTASHIRIKI UCHAGUZI WOTE BILA MABADILIKO , mchakato waabadiliko hayo utaanza mara Moja .
Waachieni CCM uchaguzi wao, wajifanyie Kampeni wao, wajichague wenyewe !!.
Achanane na Hadaa za muda mfupi za CCM , kwamba zitakupa Ruzuku ...
Habari za jumapili wadau? Tunaishi kwenye jamii ambazo hazipendi kuona wengine wakifanikiwa.
Wengi wetu tumekuwa tukipenda kuweka wazi mipango yetu, hasa kwenye social network, WhatsApp, insta etc.
Sijui lengo huwa ni nini? Kuwaringishia wengine au kuwahamasisha wengine.
Nina mkasa wa rafiki...
Wakati Trump anamsubiria Narendra Modi Waziri mkuu wa India kufika White House Trump akawa anapiga story na waandishi wa habari, wakumuuliza vipi kuhusu BRICS, amewajibu kwa tambo na makeke sana.
Trump anasema BRICS imekufa baada ya kauli yake kuwaambia wakigusia tu kwenye vikao vyao wanataka...
Waefeso 5:28-33
28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.
29 Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa.
30 Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake.
31...
Trump ametufundisha jambo kwa sasa fukuza wazungu kwenye migodi nasisi tuchimbe dhahabu zetu wenyewe fukuza kwenye gesi uko yaaani ubaya ubwela tu kila mahali tukae wenyewe fukuza kwenye viwanda vya cement
Maendeleo yoyote yana gharama zake na kilichotokea leo ndio matokeo ya maendeleo hayo. Sasa nawasihi muendelee kushikamana swala la ubingwa muliweke pembeni nyie endeleeni na project yenu.
NAtabiri maneno yatakayoanza sasa
-GSM ana dhamini timu nyingi
-Bahasha zinatembea (zitatembea mpaka tar...
- Kinachoendelea kwa majirani zetu DRC ni ishara kuwa amani ikitoweka nchini mwako basi usitegemee eti utapata usaidizi wa Jumuiya au mataifa ya nje kusaidia kuirejesha amani hiyo.
- Vivyo ivyo ikitokea kwa mfano nchi imevamiwa na watu wa ndani au wa nje na amani kuharibika basi usitegemee eti...
Maumivu ya uongozi wa Trump yametokana na Wamarekani wenyewe kwasababu ya kumpa Trump uraisi
Maana ya kupiga kura ni kumchagua kiongozi mwenye ueledi wa kuongoza Wananchi wake
Trump ameshawahi kuwa raisi na mkaona impacts zake kama hakustahili kuwa raisi mlimpaje tena kura
Trump amekuwa...
Kwa MTU yoyote mwenye akili timamu ambazo haziongozwi na mihemko atakubaliana na habari hii.
Mkutano ulijaa "show off" KULIKO maana halisi za mkutano. Walienda kutuonyesha uwezo wao wa kutumia resources Vibaya. Kwa mfano, Nani mwanachama mwandamizi wa CCM anayefahamu mabasi Yale, baskeli, Boda...
Utamaduni wa kujiuzuru kwa viongozi wa CCM haupo na haujawahi kuwepo.
Tunapoona kiongozi yoyote wa CCM anaomba kujiuzuru basi kwa 100% tunajua ni shinikizo kutoka ndani sana likiratibiwa na mfumo chini ya kiapo cha mwenye mamlaka kuu ya nchi.
Kisa cha kujiuzuru kwa Jumbe wakati akiwa rais wa...
Kuna watu wanajifanya wanaipenda Simba lakini hadi hawajachangia hata sumni halafu wao ndio wanajiona mastaa wa kuisemea Simba, ukiwaona mitaani ama uwanjani wanajifanya wao ndio Simba kweli kweli lakini kwenye kuchangia timu wako mbaali.
Timu yetu imewasilisha hoja ya kuchangia adhabu...
Nitarudia hili mala trilion , Tatizo la Tanzania sio kukosa upinzani imara au watu imara au Chama imara bali ni kukosa raia walio tiyali kupigania nchi, kumejaa keybord worrior tu.
Vijana wa Kenya wana set maandamano Kesho wao wenyewe kwenye socia media na wanaingia road wenyewe, bila...
Husika na kichwa hapo juu, naomba kufahamu wapi nitapata connection kutoka kwa wachina viwandani au kuagizia china nipate kununua pikipiki kwao moja kwa moja bila kwenda madukani kwa bei ya rejareja au kwemda kwa mawakala wa mikoani au wilayani.
Nataka kufungua duka kwa ajili ya kuuza pikipiki...
Habari zenu wana jamifourm!
Leo nimeona niwaulize kuhusu hili.
Nimeshuhudia baadhi ya wanyama kama Kuku ,mbwa nk, wakipigana na twasira yao wenyewe kwenye kioo.
Je, ni kwa sababu gani Hawajitambui au wana matatizo ya akili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.