Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
Huyu Lisu simuelewi mimi, mwanzo alisema alifuatwa nyumbani kwake na Mfuko wa Pesa ili ahongwe aache kumsema sema vibaya Mama yake na Abdul. na ameenda mbali kusema alie mpeleka Abdul ni Ezekiel Wenje.
alishindwa kutecord wakati anashwawishiwa apokee hizo pesa? hata short video ya CCTV...
Habari wakuu.
Kwa wamiliki wa magari au wenye interest na magari, leo tuongee kidogo kuhusu kufanya Diagnosis, ikiwa kama moja ya njia ya kufanya maintenance (preventive maintenance).
Nadhani wengi tumewahi kusikia hii term OBD ambayo ni kirefu cha on-board diagnosis.
Sasa tukienda gereji...
Leo ni wiki inafika na sijapata huduma.
Update :
Leo tarehe 21/12/2024 saa tisa na dakika 35 tanesco wamefika na wametatua tatizo
Asante sana meneja asante sana mdau Sope suazo kwa kunipa namba ya meneja
Asante mafundi walionihudumia
Asante TANESCO
Wananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma.
Tupate habari kamili.
Ninaangalia hapa list ya wale wote waliopewa tenda za kutoa huduma kwenye mradi wa Nyerere nabaki kutikisa kichwa tu. Tenda hizi zilikuwa ni za mabilioni na kwa ajili ya ku-supply kila kitu, kuanzia chakula, vifaa, huduma nk. Sana sana ulinzi ndio naona walipewa Suma JKT. Naona majina hapa ya...
Hali ilibadilika ghafla Mashabiki wa CS SFAXIEN wakaanza kupigana wenyewe kwa wenyewe na hii inatokana baadhi ya mashibiki wa Timu hiyo wakitaka kuwapiga wachezaji wao ma wengine kuwazuia.
Tazama namna shabiki wa CS SFAXIEN alivyompiga kichwa shabiki mwenzake baada ya kuanzisha vurugu za...
Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk.
1.Manzese
2.Magomeni
3.Mburahati
4.Kigogo...
Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru.
1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala.
2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake.
3. Vyama vingine vya upinzani vikinusika vitasema ni watawala au wenzake ndani ya chama chake...
Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad...
Imekuwapo miradi mingi inayoanzishwa kama strategic kufikia dira ya Taifa 2025 pia Malengo ya kidunia 2030 lakini inashindikana kuwepo kwa muendelezo mzuri wa usimamiaji wa hiyo miradi kutokana na Nepotism/udugu/umimi(UCCM).
Kuna matukio mengi ya kuhujumu rasilimali za Taifa,miundombinu na...
Fikiria hili: unapomtegemea mtu kwa kila jambo bila kufanya juhudi za kujitegemea, ipo siku utakuta umegeuka mtumwa wake. Hali hii inadhihirika wazi kupitia uhusiano wetu na China, ambapo nchi yetu na nyingine nyingi za Afrika zimewekwa katika hali ya utegemezi mkubwa. Sekta zetu muhimu kama...
Hapa nadhani ndugu zanguni tupambane ipatikane mahakma ya kadhi. Misikitikini au tuangalie namna ya kuchangishana pesa.after all wafanyabiashara wengi wakubwa ni waislamu. Kweli watashindwa ilipia mahakma ya kadhi?
Tuacheni kuwa walalamishi. Tujianzishie mahakma ya kadhi kama kweli tuna nia...
Nimekutana na discussion moja msomi mmoja anasema jamaa yake Ana masters in business Adminstration na Anakuomba amtufatie kazi jamaa akamuuliza mbona si utumie hiyo masters ku-develop ideas na kufanya "innovation mkuu"
Jamaa ame-condemn na kutupia mzigo wa lawama moja kwa moja walimu wa...
CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyanganyilo cha serikali za Mitaa
Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani.
Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA) na wagombea wao kwa Kuenguliwa katika...
CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyang’anyilo cha serikali za Mitaa
Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani.
Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA) na wagombea wao kwa Kuenguliwa katika...
Najua nitakachoandika hapa kitaleta ukakasi kwa watu wengi, lakini ukweli lazima usemwe.
Wakoloni kutoka Magharibi walitumia nguvu zao za kijeshi na kiuchumi kutanua himaya zao, wakitafuta rasilimali na maeneo ya kutawala kote duniani. Walivuka bahari na kufika mabara mbalimbali, wakifanya...
Tundu Lissu ataka watanzania wachukue hatua kukataa ongezeko la ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania
Na Jumatano, Oktoba 30, 2024
Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amewataka raia kukomesha vitendo vya kutokujali na ukatili wa polisi kwa kuwachagua viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.