Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk.
1.Manzese
2.Magomeni
3.Mburahati
4.Kigogo...