wenzake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Arusha: Dereva wa pikipiki aliyekaripiwa kwa kumkosa mtoto apandwa hasira na kuwaita wenzake kuivamia sherehe kwa mapanga

    taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio. Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki...
  2. B

    Nini hatima ya Syria wakati kamanda mkuu wa mapinduzi na viongozi wenzake wanatambulika na Marekani kama magaidi

    % kubwa ya hawa makamanda walioongoza haya mapinduzi ni tawi la Al- Qaeda (Kikundi cha Waislam wenye itikadi kali) ambacho Us alisema ni MAGAIDI. Al- Qaeda ingawa kwa sasa hawavumi sana lakini bado wamo na wanamatawi yao km IS nk. Je US atakuwa tayari kufanya kazi na MAGAIDI wakati kwake...
  3. Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000

    JAMAA wamejifungia sehemu wanajadili jinsi walivyoumbuka wakijodanganya eti kilanja wao mkuu ameleta Patriot. Sasa cha kitu kipya Kwa jina oreshnik hili kombora lilipojaribiwa kule Russia west walidharau na kusema eti Putin kawaonyesha video game sasa dude limefyatuliwa bila vichwa vya...
  4. Sijawaona Mwamposa na wenzake pale katika janga Kariakoo

    Hawa jamaa nadhani walitakiwa pale ghorofani ili wafanye jambo la muhimu sana, sijawaona, au ratiba zimewabana?
  5. M

    Pre GE2025 Huyu Mussa Magege anayewania ubunge Chato ataweza kupambana na miamba kama Kalemani au Katwale na wenzake? Nasikia anajipigia chapuo chinichini.

    Nasikia mpaka sasa anapiga jalamba chinichini. Ametoa gari mbili ili kusaidia watu wakifiwa kusafirisha maiti toka Hospitali ya wilaya kwenda kuzika makwao kamba wakifiwa .Moja ni Hilux Nyeusi. Je ataweza huu mkikikimkiki? Maana nasikia Kalemani, Katwale, Sende na Wababe wa Chato wapo kwenye...
  6. CHADEMA yashindwa kuwawekea mawakili George Sanga na wenzake. Huku makamanda wakila bata uraiani.

    Mdude amesikitika sana. 👇
  7. O

    Mendy asema alikopeshwa pesa na wachezaji wenzake wa zamani wa Manchester City

    Beki wa zamani wa Manchester City Benjamin Mendy anasema alikopeshwa pesa na wachezaji wenzake wakati huo Raheem Sterling, Bernardo Silva na Riyad Mahrez wakati klabu hiyo ilipoacha kumlipa baada ya kushtakiwa kwa ubakaji na unyanyasaji wa kingono, aliiambia mahakama ya ajira. Beki huyo wa...
  8. Q

    Vyombo vya Habari vya Kimataifa vyatangaza maandamano ya CHADEMA leo Septemba 23

    By Reuters NAIROBI, Sept 23 (Reuters) - Tanzanian police arrested two opposition leaders again on Monday, their party and police said, to stop anti-government protests in the commercial capital Dar es Salaam. The main opposition party CHADEMA's chairman Freeman Mbowe was detained on the street...
  9. Jinsi mtumishi wa Mungu alivyoelekezwa kukosoa watumishi wenzake wa serikali na siasa

    Anatakiwa kwenda moja kwa moja kwa muhusika. Sio kurusha barua au andiko jumlajumla tena hadi kwetu wananchi tusiohusika. Nathan alimfuata Daudi moja kwa moja alipozini na kuua raia. Yohana mbatizajialipotaka kumsaidia Herode alimfuata. Paulo alipotaka kumsaidia Rais wa Cyplus Sergio Paulus...
  10. KENYA: Ujio wa Starlink utasaidia Safaricom na wenzake kuboresha intaneti

    Ujio wa Starlink utasaidia Safaricom na wenzake kuboresha intaneti – – Mkuu Mpya Mteule wa CAK MKURUGENZI Mkuu mteule wa Mamlaka ya Ushindani Nchini (CAK) David Kemei amewahakikishia Wakenya kwamba atazima mjadala kuhusu kampuni ya kutoa huduma za intaneti ya Sterlink baada ya Bunge...
  11. Mzee Magoma na wenzake wale wamechanganyikiwa

    Magoma hawezi kulipia wakili bali kapewa wakili na wale jamaa zake kwa gharama zao. Aliyepeleka Yanga mahakamani ni Magoma, viongozi wa Yanga wanajibu mashitaka yake tu mahakamani. Kwahiyo akina Magoma walitaka Yanga wasiende mahakamani kujibu hoja zao...
  12. Pre GE2025 Hatma ya Soka na wenzake waliotekwa ni shimo kwa CHADEMA?

    Machache lakini mazito Soka na wenzake wanasadikiwa kukamatwa na jeshi la polisi. Soka aliitwa kufuatilia pikipiki yake iliyopo polisi (ni vigumu raia kujua taarifa za kitabu cha RB cha polisi) Soka alitoa taarifa kuwa anafuatiliwa kukamatwa na hata alipokamatwa huko Iringa akielekea Mbeya...
  13. Mahmoud Abbas kama wenzake amedanganya tu.Hajaenda Gaza

    Alipokuwa nchini Uturuki wiki iliyopita kiongozi wa mamlaka ya Palestina alihutubia bunge la nchi hiyo na kujigamba kuwa akirudi nyumbani atakwenda Gaza kwani eneo hilo ni sehemu ya Palestina na hatoruhusu litawaliwe na Israel.Wabunge wa bunge walimshangilia sana. Tangu arudi ni wiki sasa na...
  14. Kutoroka kwa Wafungwa, mapya yaibuka

    UPDATE: August 22, 2024 KUTOROKA KWA WAFUNGWA: SHAHIDI ADAI WALITOKEA MLANGO MKUU KWA KUTEMBEA Taarifa mpya zinaeleza Wafungwa 13 walitembea na kutoka kupitia mlango mkuu wa kituo cha Polisi wakiwa chini ya uangalizi wa maafisa wawili wa polisi waliokuwa zamu usiku Idadi ya Wafungwa ni 13...
  15. Kuna Mtu namwona huko Mkutanoni wala hasikilizi Hotuba za Wenzake bali anaandika andika tu huku akiwa anatetemeka vipi hatotoa Boko kweli?

    Niliyemuona ni Mimi peke yangu tu au? Sasa kama ana ya kuandika ADC wake na Wasaidizi wake wana Kazi gani? ANGALIZO Nimesema kuna Mtu na wala sijamtaja Jina, sasa Wewe jipendekeze au washwawashwa ukurupuke nami uyakoge.
  16. L

    Nimeona tu kwamba Mbowe na wenzake wameachiwa Lissu vipi?

    Tangu asubuhi nafuatilia sioni jina la Lissu kuachiwa nijuzeni wenye habari vipi yuko huru? Poleni kama nawasumbua maana niliona taarifa inasema kwamba wengine wameachiwa isipokuwa wenye jinai. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana...
  17. Kibu Denis leo amefanya mazoezi na wachezaji wenzake kuelekea Simba Day

    Mchezaji wa Simba SC Kibu Denis leo ameonekana katika mazoezi na timu yake akiendelea kujiweka sawa kuelekea katika kilele cha Simba day itakayo fanyika kesho. Kibu awali hakuoneka akijiunga na wachezaji wezake wa Simba wakati wakijiandaa na msimu mpya. Na tetesi zilizokuwepo ni kuwa alikiwepo...
  18. Napenda Utani wetu wa Simba na Yanga, ila hili la kusema kuwa akina Mzee Magoma na Wenzake wamefoji Sahihi na Nyaraka nalikataa tena kwa 100%

    Mkiniambia GENTAMYCINE kuwa upande ambao mmetakiwa Kuachia Timu na ambao ndiyo mna Hela chafu na Utajiri mkubwa mmeamua kutumia Nguvu yenu ya Fedha na Propaganda kwa Kubebwa na Wakubwa walioko Serikalini na wenye Nguvu na Ushawishi kubadilisha huu Upepo na Kumsingizia Mzee Magoma na Wenzako kwa...
  19. Mzee Magoma na wenzake kufungwa kifungo cha maisha kwa kufoji nyaraka za mahakama

    Kufuatia sakata la Viongozi wa Yanga kutakiwa kuachia madaraka baada ya baadhi ya Wazee wa Club hiyo kushinda kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Wakili wa Mahakama kuu Dedan Kapongo ametolea ufafanuzi wa kisheria kuhusu tuhuma zilizosemwa na Mkurugenzi wa sheria wa Yanga kwamba Wazee...
  20. C

    "Hustler" awakacha wenzake mapema asubuhi (bottom-up ilikua zuga)

    Hustler aliahidi kuwainua ,(badala yake KAWABINUA Bodaboda na Mama Mboga (bottom-up) Baada tu ya Kuapa akaanza kulamba Asali na kusahau "hustler" wenzake. Sasa hivi wanaandamana wanaitwa WAHAINI
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…