Kwanza kabisa niombe Jamiiforums wasiunganishe uzi huu na Nyuzi nyingine zinazoelezea kuhusu sakata la Mtoto kulawitiwa Arusha na Kesi yake kufika kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Sote ni mashahidi wa kile kilichoonekana tarehe 10 Mei wakati wa Kliniki ya Haki iliyofanyika katika ofisi za Mkuu wa...
Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka.
Juzi kuna habari imetokea huko kwenye ziara za Rc mmoja hiyo habari kila mmoja amekurupuka eti wamejisikia uchungu kwa kuwa tu huyo mama...
Wakuu tukiacha masikhara na tukiwa wakweli lazima tukiri kuna miaka CHADEMA ilikuwa ya moto mno kisiasa. Ilikuwa haishikiki. Jijini Arusha na wilaya za jirani walikuwa hawaambiwi kitu kuhusu CHADEMA. Jamaa walikiwasha sana. Mwaka 2005 - 2015 zilikuwa ni zama za dhahabu kwa CHADEMA. Ilikuwa...
Katika soka neno tapeli sio tusi, bali hutumika kumbainisha mtu anaejipatia sifa na umaarufu chanya pasipo juhudi na uwezo wake binafsi kama ilivyo kwa kocha juma mgunda gadiola mnene.
Kibonge huyu toka Tanga, ni kocha mzuri ila sio kocha wa kiwango wanachokitaka mbumbumbu fc, achilia mbali...
Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake.
Je, Mdee baada ya kusemekana kushawishi wenzake wanataka kurudi kuomba Msamaha CHADEMA , tunajiuliza...
Nilishaona hilo likifanyika nilipokuwa mdogo. Jirani yetu aliyekunywa sumu alinyweshwa mkojo wa binadamu kwa ajili ya kumtapisha.
Miaka mingi baadaye, nikiwa nimeshahitumu Chuo, tukio kama hilo lilitokea tena jirani na kwetu. Binti mmoja alikunywa sumu, na kabla ya kukimbizwa hospitalini...
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapa jukwaani.
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Wakati raisi Samia alipoingia madarakani, haikupita hata miezi sita akaanza pangua pangua ya viongozi wakubwa pale ikulu akiwemo aliekuwa...
Ikikupendeza na utapendeza na wengine, mchezo wa soka ni FURAHA na kuwa FAIR.
TUMESHUHUDIA nchi ikiwa katika sherehe za uhuru Mh Rais hutoa misamaha kwa WAFUNGWA. Hawa wanakuwa wamefanya makosa na wanapata Misamaha .
Kama Taifa la soka Tanzania timu zetu SIMBA NA YANGA kwa mara ya kwanza toka...
Watanzania acheni kuwa vichwa panzi, Chini ya Kikwete CCM ilikuja na agenda ya kujivua Gamba, machawa wakuu wa kupayuka kauli mbiu hio walikuwa Ndugu Kinana na Nape. Miongoni mwa waliofedheheshwa na kuabishwa ni Rostam Aziz, Lowasa na wengineo.
Msisahau waliosalitiwa nchi hii ni wengi...
Ni mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu
Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh
Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa nusu, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa...
Poleni kwa msiba.
Naangalia shughuli ya msiba wa Lowassa, katika hizi nyimbo. Kundi ambalo Ney yupo liianza kuimba mara ya kwanza, ilipofika kipande cha Ney na yeye akiwepo wimbo ukasto-pishwa wakatoka Jukwaani.
Wamekuja mara ya pili kipande chake kimepigwa ila Ney wa mitego hayupo jukwaani...
Leo tarehe 12 Februari 2024 Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewasilisha Mahakamani nia ya kutoendelea na kesi ya mauaji inayowakabili George Sanga, Optatus Nkwera na Goodlucky Mfuse.
Baada ya kufutwa kwa kesi hiyo Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewakamata tena na kuwafungulia mashtaka yale yale...
Msanii anaefanya vizuri kwenye mziki wa Amapiano nchini Chino Kidd, amelalamika kukosa ushirikiano toka kwa wasanii wenzake kwenye Tamasha lake la Wanaman Experience.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory), Chino amesema kuna baadhi ya wasanii wenzake wamemnyima ushirikiano kuelekea...
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) limemtaka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa viti maalum wanaodaiwa kuwa wanachama wa CHADEMA, kinyume chake Baraza hilo limetishia kuwahamasisha wanawake Nchini...
Kaamua kuwawahisha wenzake kwa mabikira na kutoroka......
An Iranian soldier opened fire on fellow soldiers, killing five of them in the southeastern city of Kerman, where 94 people were killed in a bombing attack earlier this month, Iranian state TV reports.
State TV says the shooting...
Vituko katika vita baina ya Israel na wapalestina daima havimaliziki ambapo maajabu mengi yameripotiiwa.
Muuza duka mmoja kwenye kijiji cha Dura karibu na Hebrona anasimulia kuwa askari wa Israel waliingia mjini humo na kuua watu wawili na walipotaka kutoka wakamvamia yeye kwenye duka lake la...
Kwema Wakuu!
Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.
Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu...
Kwa anayetaka kujua Uwezo wake atafute ile Video ya Kanda Bongoman ya Live aliyopiga nchini Kenya kabla aliyekuwa Rais wa Kenya Daniel Arap Moi kumpa Saa 24 Kanda Bongoman aondoke nchini Kenya kwakuwa alisababisha Wakenya wasiende Kazini na wakawa wanapigana Vikumbo kuingia katika Shows zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.