Salaam Wakuu
Ninacho jua, Watawala hawawezi kuwanyamazisha Watu wa Mbeya.
Watu wa Mbeya ni wapole ila ni watu wenye Ushirikiano na kupendana pia. Hawaogopi wala kutishwa.
Tangu enzi la Nyerere Mbeya imejijengea sifa hiyo.
Waliomkamata Sifa walijua wamemaliza. Bado sana na ndo kwanza...
Habari za jumapili!
Leo nimebahatika kuusikia wimbo wa mwanadada mmoja ambaye nimemfahamu kupitia wimbo huo.
"Mnatuona Nyani" ndio jina la wimbo huo.
Huyo dada amelalama, amelalamika, ametoa dukuduku lake, ametoa yamoyoni mwake, ametoa yanayomsibu, ametoa mtazamo wake dhidi ya wale...
Kuumia kwa Manula na ghafla kuibuka kwa Ally Salim kama Kipa wa kuaminika kumekuwa na majungo ya chini kwa chini kuwa ni ndumba zinafanya kazi. Sasa hiki kinachomkuta tena huyu kipa mgeni wa Simba nako kunaonekana kuwa sio bure ila ni juhudi za dogo kuwapiga pini wenzake ili wasiwe kikazwo...
Habari hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X.
-
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limempatia dhamama Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na viongozi wengine wa chama hicho waliokamatwa muda huu saa 2 usiku jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha...
Kama anavyotambulishwa, jina lake ni Zacharia Hans Poppe, ambaye alizaliwa mwaka 1956 mjini Dar es Salaam na kukulia mkoani Iringa.
-
Baada ya kumaliza elimu ya sekondari, Zacharia alijiunga na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambako alifikia cheo cha Kapteni
-
Kabla ya kuachishwa kazi na...
Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa...
Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa...
Watu wamekuwa very hysterical kuhusu hili suala la Bandari: wanasema nchi itaangamia, nchi itakufa. Lakini leo Jaji anakwenda kuwaondoa watu wasiwasi.
Tuna imani na Samia. Twende na Samia katika hili. Rais huyu ana nia njema.
Binadamu anatakiwa kuwa na imani; na siyo kuogopa kila jani kavu...
Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-
(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:
(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine...
Duru za kinyeti zinatabanaisha, huenda Dkt. Slaa na wenzake wakazuiwa kwenda kuongoza mkutano waliouitisha kwa ajili ya kujadili suala la MKATABA wa BANDARI.
Nukuu:
"....Mkutano wao kina Dk Slaa sidhani kama utaruhusiwa na wakubwa. Yapo maelekezo japokuwa hayajawa bayana mkutano ule uzuiliwe...
Hizo foleni za kijinga kwa nini Rais Samia na wenzake wasitumie ndege kata upepo kutoka uwanja wa ndege hadi huko Ikulu ya Dar es Salaam?
Viongozi wengi (waliochaguliwa kwa haki) hata huko Duniani wanatumia ndege upepo kuepusha misongamano isiyo na maana.
Tumechoka aisee!
Habari jf ,
Kwanza kabisa ifahamike IGA hii ni MKATABA sio makubaliano ya kawaida kama yanavyosemwa ,sababu ni makubaliano ya kimaandishi na yana ulinzi wa kisheria .
Pili huu Mkataba Una Ukomo lakini huo ukomo unategemea HGA -ukisoma vizuri utagundua umefichwa kwenye HGA ,ambayo ndio mikataba...
Siwezi kulipwa milioni tano tu nikala ugali na sukari nikakupa pasi ili ufunge.
Kocha Nabi alikuwa analipwa milioni 35, mzee wa kutetema sasa rasmi kuwa mchezaji ghali Afrika Mashariki nzima.
Ila kwa starehe za Dar es Salaam msimu ujao akifilisha goli 12 mniite fala.
More money poor performance.
Kesi Kesi hiyo leo inatarajiwa kuendelea tena baada ya kusimama kwa miezi miwili, tangu Mei 17, mwaka huu. Siku hiyo kesi hiyo haikuendelea Kwa kuwa Jaji Cyprian Mkeha anayeiskilizwa hakuwepo, kwani alikuwa kwenye semina ya majaji ndipo ikapangwa kuendelea leo.
Wabunge hao akiwemo Halima Mdee...
Inakuwaje Mtu uliyefunzwa vyema tena Kimedani/ Kivita ukiwa na Ugomvi wako na Raia kwa mfano mmegombania Mwanamke na akakuzidi Kete 'akambandua' na Wewe (Mwanajeshi) kuchezea Kichapo (Kipigo) utakachokifanya ni kwenda Kambini kuwachukua Wenzako ndiyo mje Kumchangia huyu Raia na Kumpiga...
Wife karudi analalamika kuwa salon aliyokuwepo kuna mwanamke kaongea shit. Na kaongea shit mbele yake pasipo kujua.
Mwaka juzi mwezi May nlimwagizia wife Nissan Dualis baada ya kuwa analalamika kuwa amechoshwa na Harrier tako la Nyani. Hii gari nilimnunulia ni dualis ya mwaka 2010 achana na...
Sioni sababu yoyote ya Polisi kuzuia hayo màndamano. Kamanda wa Polisi Temeke awaruhusu hawa vijana kufanya hayo maandamano. Hili ni swala ambalo ingawa serikalini wamemaliza mjadala,lakini wananchi wengine bado wanalijadili.
Hili swala la maandamano halikatazwi Kikatiba siyo sawa kwa Polisi...
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)...
Asalaam Aleykum wana JF wenzangu.
Rejeeni mada tajwa hapo juu.
Mimi nikiwa kijana Mzalendo wa Kitanzania, huwa ninakerwa sana na baadhi ya wabunge akiwemo Joseph Kasheku aka Musukuma hasa kwa tabia zao za kuwaona wale wenye maoni ya tofauti na serikali (au maoni yao wenyewe) kama ni wajinga...
Kwanini asivae suti kali?
Kwanini avae tisheti tu?
Mbaya zaidi hata anapokutana na delegations za nchi nyingine, pamoja na mikutanoni yeye ni matisheti tu. Why?
Yaani unakuta hadi walinzi na madereva wa hao viongozi wengine wamenyuka misuti mikali mikali halafu rais wanayempokea/pokelewa naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.