wenzake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Halima na wenzake lazima watoboe. Msijidanganye kama watoto. Ukweli utajulikana nani alipeleka barua NEC

    Mnajipa moyo kama watoto. Mnataka kusema akina Halima walifoji barua ya kujiteua? 🤓🤓🤓 👇
  2. Ngongo

    Kama CHADEMA hawakuwapitisha Mdee na wenzake kwanini hawafungulii kesi ya kugushi?

    Heshima sana wanajamvi, Ikiwa Mdee na genge lake waligushi nyaraka na hatimaye wakafanikiwa kuwa wabunge !. Ni kwanini mpaka leo chadema hawajawafunguliwa Mdee na wenzake kesi ya kugushi !. Ikiwa Wakili Msomi Kibatala na wenzake walijua kama mapingamizi yao yangesababisha kesi ya Mdee kutupwa...
  3. JanguKamaJangu

    Mbunge atuhumu Wabunge wenzake sakata la Loliondo na Ngorongoro adai wana maslahi yao binafsi

    Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy Mayenga ametoa tuhuma kwa baadhi ya wabunge ambao kwa makusudi wanaipotosha Serikali na kuichonganisha na wananchi kuhusu sakata la Loliondo. Mayenga ametoa shutuma hizo leo Juni 22, 2022 wakati akichangia bajeti kuu ya Serikali, bungeni Jijini Dodoma. “Machafuko...
  4. Mwanamayu

    CHADEMA wanapinga NEC kuunganishwa kwenye Kesi ya Halima Mdee na wenzake. Je, ni kwa faida ya nani?

    Mara tu baada ya kuvuliwa uanachama, Halima Mdee na wenzake walitinga mahakamani na kufungua kesi na mmoja wa walalamikiwa ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Chadema wanapinga NEC kushitakiwa kwa sababu ni kinyume na katiba. Ila NEC ndio wangetanzua mzozo wa mamlaka iliyowateua akina Halima...
  5. BigTall

    Sabaya afikishwa Mahakamani, Mawakili wake wasema Sabaya ni mgonjwa, yaahirishwa hadi Juni 20, 2022

    KESI ya uhujumu uchumi na rushwa inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, itatajwa kwa mara ya pili leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi. Ole Sabaya na wenzake, ambao ni Sylvester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antoro Assey...
  6. Singo Batan

    Kufukuzwa kwa Halima Mdee na Wenzake 18 na mkanganyiko wa Ubunge wao

    Mei 11,2022 CHADEMA imeandika historia ya kuwavua uanachama, Wanachama wao 19 ambao wengi ni waandamizi na wamewahi kuwa viongozi wakubwa katika chama hicho. Baadhi ya Makosa makubwa yaliyosababisha wavuliwe uanachama ni pamoja na; 1. KUGHUSHI NYARAKA ZA CHAMA 2. KUGHUSHI SAINI YA KATIBU MKUU WA...
  7. mdukuzi

    Azam Fc tunafukuza lini kocha na Agrey Moris na wazee wenzake

    Kocha wa Azam P didy wa bongo zikibaki dakika kumi mpira kuisha huwa anainama kuomba dua muujiza utokee badala ya kuwapa morari wachezaji wake lakini wapi pumzi ya moto wanapelekewa,anafaa kuwa mwana hip hop ila sio mpira Aggrey Moris na wazee wenzake mafao yao pale Nsssf yameiva. Aliyegundua...
  8. JanguKamaJangu

    Marekani: Aliyeua Watoto 19 alikuwa akizomewa na wenzake kwa kuwa masikini na kuvaa nguo mbaya

    Kijana Salvador Ramos ambaye amehusika na mauaji ya watoto 19 na watu wazima wawili jana Mei 24, 2022 katika Jimbo la Texas, Marekani, imebainika alikuwa akizomewa na kuchekwa na wanafunzi wenzake kutokana na hali ya umasikini wake na familia yake. Rafiki wa karibu wa kijana huyo amesema...
  9. sky soldier

    Namuunga mkono mchezaji aliekataa kuvaa jezi za kuhamasisha ushoga licha ya wenzake kuzivaa

    Hapo majuzi, timu kubwa ufaransa ya PSG ilienda kucheza mechi huku wachezaji maarufu wa dini kuu mbili wakiwa wamevaa jezi za kuhamasisha na kuutetea ushoga na usagaji lakini kuna mchezaji moja Idrissa Gueye alikataa kuvaa hizo jezi akilalamika ni kinyume na anachoamini Hili suala si la kidini...
  10. Maria Nyedetse

    Tunaobeza harakati za Mbowe na wenzake

    Natumai hatujambo sote wanajamvi!! Kwa wale ambao Mola Mlezi amewakadiria mitihani ya maradhi, kuondokewa na vipenzi vyao au kupungukiwa na mali BASI tunamwomba Mola Mlezi awape faraja baada ya mitihani wanayopitia!! Aidha, tunamwomba Mola Mlezi awape subira na stahimili Kwani MITIHANI ina...
  11. Kichwamoto

    Naomba tushiriki kuwatakia heri Makomandoo wetu Adamoo na wenzake Mungu awape afya njema na nuru uraiani

    Jamani sina mengi nimewiwa kushiriki kuwatakia heri hawa makomandoo walimu na wazalendo, wawe na heri ya afya na nuru njema ya Maisha uraiani. Karibuni Sana Mungu awabariki note.
  12. Mtini

    Nani alithibitisha kuwa Mdee na wenzake wamegushi sahihi? Kughushi ni jinai walishawahi kufunguliwa jalada Polisi ili uchunguzi ufanyike?

    Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record. Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini...
  13. Q

    Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

    Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni. Na Mbowe anajua ni Uhuni. Nitaongea siku nyingine kwa Urefu leo sio siku mwafaka. Mimi...
  14. Roving Journalist

    Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA

    Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa uanachama na Ubunge wao....
  15. S

    Sakata la Mdee na wenzake litafanya wananchi wazidii kupOteza imani na hili Bunge

    Ukweli ni kwamba kutokana na sakata hili hata wale wanaanchi waliokuwa bado na imani kidogo na hili Bunge, sasa nao watapoteza imani hio kidogo waliokuwa nayo na matokeo yake Bunge zima litadharaulika. Watu lazima watajiuliza wabunge wa kubebwa na serikali(dola) watakuwa na uthubutu gani wa...
  16. K

    Wafuasi wa Halima Mdee na wenzake kwanini mmewatelekeza wenzenu? Mliwadanganya wanawafuasi kama mlivyomdanganya Dkt. Slaa

    Baadhi ya Wabunge 19 walio na mgogoro walikuwa wanakubalika Sana mtaani. Toka wapate Ubunge wameondoka majimboni na kwenye mitandao ya kijamii, wamefifia kwenye bunge na mtaani. Leo Bungeni spika alipotangaza waendelee na Ubunge nikasikia vifijo na nderemo kutoka ccm nikajiuliza siyo Hawa...
  17. Replica

    Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  18. Monica Mgeni

    SPIKA: Hauwezi kumfukuza Mbunge ambaye ameshapeleka kesi Mahakamani

    HALIMA NA WENZAKE 18 WANALINDWA NA KIFUNGU HIKI Spika wa Bunge Bunge_tz Dkt. Tulia Ackson ametaja Vifungu vya Sheria vinavyowalinda Wabunge 19 wa Viti Maalum wa ChademaTz kuendelea licha ya kuvuliwa Uanachama
  19. S

    Sakata la Mdee na Wenzake: Yule anayejisifu kusoma sheria na kupata A hamuwezi kumuona akichambua uamuzi wa Spika kuwalinda Mdee na Wenzake

    Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawapo la kozi ya sheria pale UDSM. Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika...
  20. J

    Ben Kigaila: Nimekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika saa 2:42 asubuhi!

    Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA mh Benson Kigaila amesema amekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika wa Bunge leo saa 2:42 asubuhi Barua amekabidhiwa Katibu muhtasi wa Spika kea dispatch Source: ITV
Back
Top Bottom