Salaam wakuu,
Nahitaji Kanga MWEUPE kwa ajili ya kufuga. Nahitaji zaidi dume, ikishindikana hata jike ni sawa pia. Mimi ninafuga kanga wa madoa hivyo nahitaji kuchanganya na weupe pia. Ndiyo maana nahitaji mmoja tu ili nipate mbegu.
Kama uko naye tuwasiliane hapa au PM kwa namba za simu. Pia...