Mwingine anasifiwa kwa uhodari au umahiri uliompendeza msifiaji, halafu mwingine huenda hata hahusiki, eti anachukia na kuumia moyoni kabisa mpaka anapata mihemko na ghadhabu, na wakati mwingine kwa kejeli, vijembe na mabezo kama yote na saa zingine hadi matusi...
Hivi hali hii ya chuki dhidi...