Kuna work mate ana mtoto sasa kwao mbali kwaiyo anashinda kwangu Mimi nipo karibu na eneo LA kazi anafika na binti anawaacha kwangu mtoto na binti kiroho safii nawaachiaga funguo ya room wanatumia jiko langu LA gesi kuchemsha chai,maji ya kuoga mtoto pia kila siku, sukari ndo wanategemea yangu...