wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

    WANAWAKE HAWAPENDI KUULIZWA MASWALI, WEE FANYA TUU; WATAKUONA WEWE NDIYE DUME. Anaandika, Robert Heriel. Taikon Master. Kuuliza uliza maswali ni dalili ya kutokujiamini, Wakati Wanawake wanataka mwanaume anayejiamini. Kutokujua nini unafanya, Wakati Wanawake wanataka wanaume wajuvi na waalimu...
  2. Wewe Askari Uliyezimikiwa Pikipiki Barabarani Punguza Ubabe

    Ujumbe huu ni kwa wewe askari uliyezimikiwa bodaboda yako mchana maeneo ya 88 Gloness Morogoro leo mchana, ulijua kabisa chombo chako hakina mafuta ya kutosha still ukaingia nacho barabarani, kimekatikiwa mafuta ukagandisha nacho barabarani ati hata wenye magari wakupishe, baada ya honi kuzidi...
  3. B

    John Heche: Lissu anatembea na Maajabu, Ukimjaribu Utaondoka wewe

    Akihutubia Umati wa watu wengi waliokusanyika kusikiliza Mkutano wenye lengo la kuelimisha wananchi juu ya Mkataba wa DP World na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama agizo la serikali liliowataka wadau mbali mbali wajitokeze kutoa Elimu. Leo walikuwa Chato Kata ya Mganza ambapo ni Nyumbani kwa...
  4. Ukiwa na sifa hizi wewe ni mjivuni , unaringa, na unajiona bora kuliko wengine

    20 WAYS TO KNOW WHEN YOU ARE ARROGANT Arrogance destroys glory, it is more deadly than cancer. One might be arrogant without even knowing, that is why there's need to read through this points carefully and observe areas that needs to be worked upon for positive change: 1. When you cannot...
  5. R

    Rais Samia anafanya vizuri ila kuna mambo anatakiwa kurekebisha

    Naomba nizungumzie Mama wa Taifa, Mhe. Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania kama nionavyo mimi; 1. Tabia binafsi Mama Samia Suluhu Hassan ameumbwa na hofu ya Mungu, ameumbwa na utashi wakuona baya kwake laweza kuwa baya kwa wengine hivyo hana sababu ya kuhukumu. Ameumbwa na moyo wa...
  6. ''I love you Baby, kissess mwaaah'' ndio maneno nakutana nayo kila asubuhi, wewe je?

    Haya haya sasa, mimi kila nikiamka asubuhi, mume ananiambia morning babes! I love you, na mabusu tele, mwaaaah! Sasa sijui upande wako ukiamka kunakuwaje? Unaamka na stress za kausha damu (Marejesho/madeni)? Kuwa mkweli basi tuambie, ni stress au mabusu? Msiopata mabusu asubuhi nawasalimu kwa...
  7. M

    Kuvaa sare za chama haimaanishi wewe ni mzalendo kwa nchi wala chama

    Wakuu ni kwamba kila chama kina sare zake na zimekuwa zikivaliwa sana na makada. CHADEMA na magwanda yao huku CCM wakipendeza kwenye kijani na njano. Ni jambo jema kwa sababu sare zinapunguza sana matabaka kwenye mikusanyiko, mikutano na vikao. Kinachoniudhi ni tabia ya makada wengi wa vyama...
  8. Je! Wewe Utafanyaje?

    Ukiamka kesho asubuhi ukakuta dunia ina kila kitu unachokihitaji na hakuna mtu yeyote wa kumsemesha au kumuongelesha yaan umebakia peke yako dunia nzima, Utafanyaje? Ijumaa Karim!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…