wezi wa umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wenye nyumba kuweni makini na wapangaji WEZI WA UMEME

    Kuna wizi umeibuka wa wapangaji wanaiba umeme, Sasa usije kupata matatizo Bure na serikali, uwe na utaratibu wa kuangalia kila mara katika ofisi kuu za tanesco na kukagua mita zako na ukihisi kitu kama hicho ripoti haraka hatua Kali zichukuliwe dhidi ya wapangaji WEZI wa UMEME. asalaam aleykum.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…