Wenye nyumba kuweni makini na wapangaji WEZI WA UMEME

Wenye nyumba kuweni makini na wapangaji WEZI WA UMEME

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Kuna wizi umeibuka wa wapangaji wanaiba umeme, Sasa usije kupata matatizo Bure na serikali, uwe na utaratibu wa kuangalia kila mara katika ofisi kuu za tanesco na kukagua mita zako na ukihisi kitu kama hicho ripoti haraka hatua Kali zichukuliwe dhidi ya wapangaji WEZI wa UMEME.

asalaam aleykum.
 
Labda nyumba za zamani
Nyumba za miaka ya hivi karibuni Mita ipo juu ya Nguzo; huyo mwizi labda awe kishoka wa Tanesco
 
Back
Top Bottom