Akizungumza katika Mkutano wake wa kwanza wa Hadhara, Tangu arejee kutoka nje ya nchi alikokimbilia kunusuru Uhai wake, Lissu amedai kwamba Nchi ya Tanzania inaongozwa na Marais wezi.
Akikazia madai yake, amesema kwamba, kama kuna mtu anadhani anasema vibaya aende akasome Kitabu cha Rais...