wezi

WEZI (102.9 MHz "Easy 102.9") is a commercial FM radio station in Jacksonville, Florida. It airs an adult contemporary radio format and is owned by Atlanta-based Cox Media Group.
The station's studios and offices are located on Belfort Parkway in Jacksonville's Southside district. The transmitter is off Hogan Road in the Arlington neighborhood. WEZI is a Class C FM station, running at an effective radiated power (ERP) of 100,000 watts, from a tower at 1,014 feet (309 m) in height above average terrain (HAAT). Its signal stretches from the Georgia coast to south of St. Augustine, Florida to southwest as far as Gainesville, Florida.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Bodaboda wamegeuka kuwa wezi na vibaka

    Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake. Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi.. Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document...
  2. Mawematatu

    Tahadhari: Baa hii iliyopo Tabata Kinyerezi ina wadada wezi

    Ndgu zangu tunao simama kwenye hizi Bar tuweni makini Ilikuwa hivi. Nilisimama kinyerezi mwisho njaa ilibana Sana. Nikaona magari na wateja wasimama na wanakula Wababa wamejikalia wakila na kunywa. Kwa kuwa ilikuwa jumamosi nikapark pembeni mbele ya bar tajwa. Nikiwa nasubiri oda ya chakula...
  3. Red Giant

    Wezi ni wa kuchoma moto kabisa

    Wakati nipo mdogo chekechea tulikuwa tunakunywa chai shuleni. Sasa bibi yangu alikuwaga ni nesi hospitali. Kule hospitali alikuwa anafanya kazi kitengo cha lishe ya watoto. Ilikuwa kila jioni anarudi na maziwa na mikate tunajichana. Sasa siku moja amerudi na mkate wakasema ungine utunze utanywea...
  4. Pantomath

    Leo nimeelewa ni kwanini watu huwafanyia wezi ukatili

    Kwanza nianze kwa kusema, kama adhabu za dhambi zinatolewa kwa uzito, basi baada ya Muuaji basi angefuatia mwizi/kibaka na wote katika kundi hiloo. Sasa nimeelewa ni kwa nini watu hua na roho za kikatili juu ya watu hawa, ni kwa maumivu waliopata. Mtu unatafuta pesa kwa njia halali na ngumu...
  5. Suzy Elias

    Maandamo ya kuikomboa Tanzania kutoka kwa CCM ni sasa

    Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena. CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu! Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
  6. TUJITEGEMEE

    Wezi waiba daraja Ohio!

    Katika hali ya kustaajabisha, nchini Marekani kumetokea wizi wa aina yake; ambapo wezi wabobezi wamefanikiwa kuiba daraja. Nisikuchoshe, jisomee mwenyewe. ====== Police in Akron, Ohio are baffled by the theft of an entire 58-foot bridge. The bridge had been sitting in a field awaiting...
  7. ndege JOHN

    Kesi ya mwizi wa mafuta Kigamboni imefikia wapi?

    Naombeni kujuzwa maana mpaka Sasa hivi naona kimya tu sijui Kama walikamatwa wakapelekwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Maana kwa kweli kuiba mafuta sio tukio dogo linahatarisha usalama wa watu mafuta ni hatari sana. Kukaa kimya kwa Serikali inatupa mashaka Sana kuhusu utendaji wa...
  8. Determinantor

    Vodacom ni Wezi?

    Tangu Vodacom Tanzania wapunguze Bundle wamekuwa na tabia ya kutokutuma ujumbe wa kiasi cha bundle ulichonunua, thamani yake na muda wa matumizi! Nimejaribu kuwasiliana nao bila mafanikio. Jana nikajiunga tena na bundle ya week ya Tzs 3,000 ila sijapokea SMS tena inayoosha thamani, kiwango na...
  9. Roving Journalist

    Mbagala, Dar: Polisi yawanyakua watu 27 Walioiba Saruji kwenye ajali

    KUKAMATWA WATU 27 KWA TUHUMA ZA KUIBA MIFUKO YA SARUJI BAADA YA AJALI YA MALORI MBAGALA Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linawashikilia watu 27 kwa tuhuma za kuiba mifuko ya saruji baada ya ajali ya malori mawili eneo la Mbagala Mission. Mnamo tarehe 04/10/2021 saa 04:30 asubuhi eneo...
  10. Candela

    POLISI NAO WEZI TU

    Waa na jamii leo naleta mada ambayo ni kero yangu na nina imani wapo wengine. Ni kuhusu polisi na vyombo vya moto vya raia, gari na pikipiki. Inapotokea umepata ajali au tatizo mfano umegonga na gari ikalazimika kubaki kituo cha polisi, basi kadri inavyoo kaa pale ninageuzwa skrepa. Ukifata gari...
  11. Chaliifrancisco

    Aina Mbili za Wezi katika Jamii Zetu

    Kuna aina mbili za wezi katika kila Jamii. 1. Mwizi wa Kawaida 2. Mwizi wa Kisiasa Mwizi wa kawaida huiba vifuatavyo Pesa, mkoba, saa ya dhahabu n.k. Lakini, mwizi wa kisiasa huiba future yako, career yako, elimu yako, afya yako, biashara n.k. Kinachochekesha zaidi ni kuwa mwizi wa kawaida...
  12. N

    Watanzania wengi ni wezi, hatuna uhalali wa kuihoji Serikali

    kwakweli huu ndio ukweli mchungu, asilimia kubwa sisi ni wezi na kila mmoja huiba kwa nafasi yake, mimi nimefanya hata kazi kwenye mashirika ya kimataifa wenye vyeo vya juu kule ni watu wa kenya, uganda, zimbabwe na nchi zingine vyeo vya chini wamewapa watanzania wanaogopa kuwapa vyeo vya...
  13. Candela

    Kiboko ya wezi wa simu

    Je umekuwa ukihangaika ulinde vipi simu yako kuepuka wezi wanaokata madirisha usiku wakati umelala. Pengine hukujua tu lakini play store zipo apps nyingi za anti theft. App hizi zinatofautiana uwezo kutokana na developer aim, hapa ntaelezea baadhi ya sifa za hizo app; 1. charger unplugged. Kama...
  14. Red Giant

    Hivi tech industry imejaa wezi watupu?

    Nilikuwa nacheki hizi movie zinazohusiana na makanpuni ya tech yalivyoanza Kuna hii The social network, hii inahusu jinsi facebook ilivyoanza. Inaonekana Mark alipewa hela na jamaa fulani awatengenezee website ya mawasiliano. Kaiba idea katengeneza yake. Kuna The pirate of silicon valley, hii...
  15. G

    Baadhi ya wapiga debe pale Chato Stand si waaminifu

    Mama mmoja wa umri wa kati ya miaka 65 na 70 alipita pale stand ya mabasi CHATO na kukaribishwa na wapiga DEBE huku wakimhoji anasafiri kwenda wapi. Katika kujieleza mama huyo aliulizia ofisi za NIDA ziko wapi ili akapate huduma ya vitambulisho. Wale wapiga debe walimuuliza yule mama ni kwa...
  16. BASIASI

    Bet Pawa wamekuwa wezi, hawafai

    Hii kampuni ya kishenzi sana siku hizi ukila hela wanaamua wanakupa saa ngapi. Hii mara ya nne wanaropoka subiri masaa 48 huu ungese kabisa. Halafu ina mkurugenzi kabisa aliienda shule hope hajui upuuzi wa wafanyakazi wake. Muwe makini kama mnahela zenu za kubetia mnataka kupata kwa wakati...
  17. J

    Dkt. Mpango: Wezi wa kutumia Bima ya Afya wakamatwe popote walipo

    MTWARA :- "WEZI WA KUTUMIA BIMA YA AFYA WAKAMATWE POPOTE PALE - MPANGO “Nasikia kuna mchezo kuna watu wanatumia bima za afya kuiba Mheshimiwa Naibu Waziri wa Afya hawa watu kamateni popote walipo wala msijali vyeo vyao awe ni daktari, natumaini hamtotumia maelekezo hayo kuone wetu wengine”-...
  18. Fundi Madirisha

    Mtandao wa Airtel ninyi siyo wezi? Huduma zenu mbovu sana

    Huu mtandao umekuwa wa ajabu sana. Watu wanatuma Miamala sms hazirudi kwa wakati, wananunia LUKU sms hawazipati, Internet yao ni weak kupita maelezo. Mbaya zaidi customer care services simu zao hazipatikani kabisa. Mtando umekuwa wa hovyo sana, huku ni kupoteza wateja. Kama kuna tatizo la...
  19. Melchizedek

    Viongozii wezi, wapenda sifa na wachumia matumbo

    👉Kipindi cha magufuli kulikuwa ni ubabe kama ubabe! Kuna miradi kwa upande wangu haukuwa na tija! Kuna fedha nyingi zimepotea! 👉Naamini hivi maana mwendazake hakuwai kutak CAG achukue nafasi yake kukagua matumizi ya fedha Hayaa yote ni katiba yetu ya kizamani tumeikumbatia na wenye dola...
  20. Patriot

    Je, wezi wa Wizara ya fedha wameshafahamu aina ya Rais tuliyenaye?

    Kwa wakulima wa mahindi na mpunga, tunaelewa uharibifu wa nyani na tumbili na ndege. Huwa tunaanza kuweka matambala na kichwa cha bandia ili wanyama hawa waamini huyo ni mlinzi. Wanyama polepole huanza kuzoea na kugundua kwamba hayo ni matambala na hakuna kichwa, ni chungu cheusi. Hapo sasa...
Back
Top Bottom