Habari wakuu!
Mwenyezi-MUNGU wa mbinguni awabariki.
Kama kichwa Cha habari kinavyosomeka ,Wezi wanakera sana . Mwizi apigwe. Mwizi afungwe. Mwizi achomwe moto .
Mwizi anaweza kukuibia Kitu wakati ambao unakihitaji sana na kukwamisha mipango mingi muhimu.
Kuna wezi wamenikera, wameniibia...