Kuna aina mbili za wezi katika kila Jamii.
1. Mwizi wa Kawaida
2. Mwizi wa Kisiasa
Mwizi wa kawaida huiba vifuatavyo Pesa, mkoba, saa ya dhahabu n.k.
Lakini, mwizi wa kisiasa huiba future yako, career yako, elimu yako, afya yako, biashara n.k.
Kinachochekesha zaidi ni kuwa mwizi wa kawaida...