Career Opportunities: Programme Policy Officer (Smallholder Productivity Officer) (155884)
Requisition ID 155884 - Fixed Term - Africa, Southern - Tanzania, United Republic of - Dar-es-Salaam - Working Job Language (1) - PROGRAMME & POLICY
Job Description
WFP celebrates and embraces...
Watu wenye silaha wamepora ghala la Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) lililokuwa na Tani 1,900 za chakula cha msaada huko Darfur
Darfur imeshuhudia ongezeko la mapigano tangu Oktoba kutokana na migogoro ya ardhi, mifugo na upatikanaji wa maji na malisho. Takriban watu 250 wameripotiwa...
WFP celebrates and embraces diversity. It is committed to the principle of equal employment opportunity for all its employees and encourages qualified candidates to apply irrespective of race, colour, national origin, ethnic or social background, genetic information, gender, gender identity...
Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa, WFP limeonya kwamba idadi ya watu wanaokabiliwa na njaa katika nchi 43, imeongezeka hadi kufikia milioni 45, yaani juu kwa ongezeko la watu milioni tatu mwaka huu huku njaa kali ikiongezeka kote ulimwenguni.
Idadi hii imeongezeka kutoka milioni...
Bilionea Elon Musk amewataka wanaoshughulika na Mradi wa Chakula Duniani (WFP) kuonesha namna dola Bilioni 6 itakavyoondoa tatizo la njaa duniani.
Mkurugenzi wa WFP, David Beasley aliomba fedha hiyo kutoka kwa matajiri hao akisema itatosha kuondoa tatizo la njaa duniani.
Musk ana utajiri wa...
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limeonya kuwa Mamilioni ya Raia Nchini Afghanistan watakabiliwa na baa la njaa msimu wa baridi ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa.
Imeelezwa, takriban watu Milioni 22.8 watakumbwa na uhaba wa chakula huku Watoto Milioni 3.2 chini ya miaka mitano...
WFP seeks candidates of the highest integrity and professionalism who share our humanitarian principles. Selection of staff is made on a competitive basis, and we are committed to promoting diversity and gender balance.
ABOUT WFP
TThe United Nations World Food Programme is the world’s largest...
Mkuu wa Shirika la Chakula Duniani, WFP, ametahadharisha kwamba watu milioni 16 nchini Yemen wanaelekea kukabiliwa na ukosefu wa chakula.
Mkuu huyo David Beasley ameongeza kuwa, mgao wa chakula kwa mamilioni ya watu katika nchi hiyo inayokabiliwa na vita utasitishwa mwezi ujao wa Oktoba...
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo!
Poleni na Majukumu ya kimaisha na harakati za kila siku.
Leo nakuja kwenu tena hapa nikiomba kuunganishwa na mtu ambaye anafanya kazi pale shirika la chakula Duniani (Tanzania)
WFP hasa kitengo cha ajira.
Lengo ni kuwa niweze kuteta naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.