Trump awe makini coz watu wana hamu naye! Safari hii wamemuwahi jamaa kabla hajafanya yake!
Huduma ya Ulinzi wa Rais wa Marekani (Secret Service) ilimpiga risasi mwanamume mmoja nje ya Ikulu ya White House mapema Jumapili baada ya kile kilichoelezwa kuwa "makabiliano yenye silaha," kwa mujibu...
Borris (rais wa zamani wa urusi) alikuwa Na Ndoto Ya Kuirejesha Tena USSR Ndo Putin anasimamia Hayo maono.
Russia 🇷🇺 Kwa Sasa ni Taifa Lenye Uwezo mkubwa Mno KIJESHI kwahiyo Uwezo Huo ulikuwa unatengenezwa Ili Kuirejesha USSR.
Nchi Zote zilizojimega kipindi kile Russia haijawahi kuzitambua...
Wakuu, kilichotokea pale white house kati Zelensky dhidi ya Rais wa Marekani na Makamu wake ambapo Zelensky kagomea hadharani bila woga matakwa ya viongozi hao wawili wenye nguvu duniani, na ilifika wakati akabishana nao miamba hao tena wakiwa ndani ya himaya yao, je unadhani kiongozi gani wa...
Mojawapo ya maswali aliyoulizwa Zelenskyy leo na watu wa Trump katika mkutano wa hovyo wa waandishi wa habari wa Trump na timu yake ni kwa nini havai suti Oval Office/Ikulu ya Marekani!
Aliyemuuliza swali alisema Wamarekani wengi sana wanatatizwa na kitendo cha Zelenskyy kutokuvaa suti akiwa...
Katika hali ya viongozi wa bara uroda kuchanganyikiwa, wanene waliotajwa hapo juu wameamua kumfuata mzee baba live. Watafanikiwa kumshawishi abadili msimamo?
Huyu binti mrembo, mdogo mwenye umri wa miaka 27 msemaji wa Ikulu ya Marekani amekuwa gumzo mtandaoni kwa uwezo wake wa kujibu maswali na kujiamini.
Binti anapigwa maswali ya papo hapo na kuyajibu kwa ufasaha na kujiamini huku waandishi wa habari wasiompenda Trump wakiwa wanajaribu wakati...
Niweke wazi kwamba sina jibu kamili la mada tajwa. Lakini ninachokielewa ni kwamba Marekani ni taifa kubwa ambalo Rais yoyote anayeingia madarakani hawezi kwenda kinyume na vision yao.
Hata hivyo kauli na ubabe wa Rais wa sasa wa taifa hilo, zinatafakarisha sana hususani implication ya kauli...
Na kweli ukiangalia kipindi chake Iran ilifulia vibaya mno, walibanwa kisawa sawa kwenye uchumi, Ni kipindi ambacho Iran na vikundi vyake walikuwa wanajifikiria mara nne nne kuishambulia Israel.
Kwa upande mwengine, Biden alikuwa kinyuma pengine kuzidi marais wote, Kawalegezea vikwazo Iran...
Trump amemchagua afisa habari wa ikulu ya Marekani kwa muhula mpya unaokuja. Ni afisa kijana na siyo mara ya kwanza kwa nafasi yake!
Angalia umri wake pamoja na elimu yake, hatishi sana kielimu (mtazamo finyu wa watanzania). Unahisi nini kimembeba??
Pamoja na uzoefu wake akiwa ikulu plus...
Raisi wa nchi ya Marekani Joe Biden amepanga kutoa mabilioni ya dollar kwajili ya masuala ya kijeshi huko nchini Ukraine kabla hajaachia ngazi rasmi mwezi January. Hii inakuja huku kukiwa na mkanganyiko kutokana na matamshi ya Donald Trump ambaye mara kadhaa kwenye kampeni zake alikuwa akikosoa...
Maajabu (kama walivyokuwa wajinga) hayatakaa yaishe.
Ya kwamba mara ya mwisho Ilikuwa angalau mwaka huu.
Ya kuwa madai haya si kutokea Kwa vyanzo reja reja:
La kutia moyo ni kuwa vita vyote duniani vitasimama siku tu akishachaguliwa, tena akiwa hata hajaapishwa.
==============
Former...
Uebert Angel ameshamtabiria ushindi.
Kwa wanaomfahamu Uebert Angel, amekuwa na Historia ya tabiri zake kutimia. Baadhi ya mambo aliyotabiri na yakatimia ni pamoja na:
1. Kifo cha Malkia Elizabeth
2. Uchaguzi wa Kenya uliompa Ruto ushindi
3. Machafuko nchini Kenya
4. Uchaguzi nchini Nigeria...
HII NYUMBA TULIDESIGN WENYEWE JAPO MTEJA ALIANZA UJENZI NA MTU MWINGINE THEN SISI TUKAANZA KUREKEBISHA
1. TULIREKEBISHA MSINGI MAANA ULIKUWA MFUPI SANA NA MKANDA ULIKUWA MDOGO MNO (REJ PICHA NO 1) PIA TULIONGEZA UKUBWA WA CLOSET YA MASTER NA CHOO MAANA ALIVIRUKA
2. TUKAANZA KUINUA UKUTA...
The White House has instructed the M 23 rebels to use only light weapons when engaging in the figthing,and also to get out of DRC.
This is very humane for The White House to say such a thing.
But it is time now to bring this war to an end.
What should happen is this:
The side which is...
Huyu jamaa ndio atakuwa the first real black man to be president (vice) wa USA na labda pia president if something happens to President D.Trump na kushindwa kuendelea na urais wa USA.
God Bless D.Trump!
Tim Scott 100% black man like us!
Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini kwa mujibu wa ripoti ya White House.
Katika moja ya ziara aliyowahi kuifanya Donald Trump ambayo iliingia mpaka kwenye record za Marekani.
Ni ziara ya Donald Trump kuingia nchini Korea Kaskazini na...
Mkijua Kudhihaki mjue pia na Kupongeza. Na hakuishia tu Kupiga Picha nami bali hata ile Dola Milioni 55 tuliyohaidiwa Ngozi Ngumu (Bara la Afrika) kwa anavyoipenda Tanzania Nusu yake tutapewa Sisi na Mimi kwakuwa nimeshawajua mlivyo Wanafiki wala sizileti Kwenu (siwapi) na naziweka Kibindoni ili...
Kupitia nyaraka 184 zilizowekwa wazi mbele ya Mahakama inayosikiliza kesi dhidi ya Rais huyo wa zamani, Wziara hiyo imethibitisha kuwa Trump aliondoka Ikulu akiwa na nyaraka za siri ikiwemo za Idara za Usalama wa Taifa.
Katika Hati hiyo ya Kiapo, Afisa wa siri wa FBI amesema walipitia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.