Trump 'aliiba' nyaraka za siri za serikali alipohama Ikulu ya White House
Idara ya Hifadhi ya Nyaraka na Kumbukumbu za Taifa ya Marekani imetangaza kuwa, nyaraka za taarifa za siri zimepatikana kwenye maboksi 15 ya kumbukumbu za Ikulu ya White yaliyokuwa yamehifadhiwa katika nyumba ya aliyekuwa...
Mahakama ya Juu Nchini humo imekataa ombi la aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Donald Trump la kuzuia kutolewa rekodi za White House kwa jopo linalochunguza vurugu zilizofanywa na wafuasi wake eneo la Bunge.
Amri ya Mahakama inamaanisha zaidi ya Hati 700 zinaweza kutoa mwanga juu ya matukio...
Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Kenya's President Uhuru Kenyatta is set to become the first African leader to be hosted by the US President Joe Biden at the White House on Thursday.
White House spokesperson Jen Psaki said the two would discuss "efforts to defend democracy and human rights, advance peace and security...
Joy Ngugi is perhaps the only Kenyan who works at the White House where some of the critical decisions affecting the US and the world are made.
The 24-year old works in the Office of Digital Strategy and was recently listed among the future power players in US President Joe Biden’s...
Champ na Major ambao ni mbwa wa Rais Joe Biden, wamehamishwa kutoka White House na kupelekwa Delaware kwenye makazi binafsi ya Joe Biden.
Hii ni baada ya mbwa mmoja (Major) kumng'ata afisa wa CIA ambaye anamlinda Rais Biden.
The two German Shepherds belonging to President Joe Biden and first...
Ikulu ya Marekani imeonesha wasiwasi wake baada ya shambulio dhidi ya huduma ya Exchange ya Microsoft ikitaka taasisi binafsi na za serikali zilizoathiriwa kuchukua hatua za haraka ili kuepusha madhara zaidi.
Katika ujumbe wake kwa waandishi wa habari siku ya Ijumaa, Msemaji wa Ikulu ya...
Jill Biden ameweka alama za moyo na katika kila moyo ameandika ujumbe
Healing, Courage, Love, Compassion, Gratitude, Peace, Amor, Strength, Kindness, Family, Unity. Love Jill
Kauli ya Trump baada ya kurejea White House
Rais wa Marekani, Donald Trump ameruhusiwa kurejea ikulu ya Marekani, White House, hapo siku ya Jumatatu baada ya kulazwa katika hospitali ya kijeshi ya Walter Reeds nje kidogo ya Washington DC, akipokea matibabu kutokana na kupatikana na maambukizi ya...
..Ni John cale..capitol police officer..baba wa mtoto mmoja wa kike..
..Alimuahidi binti yake kuwa angepata kazi kwenye ikulu ya marekani..kama special agent..mtu anaeangalia maisha ya raisi kwa ukaribu..
...Akaongozana na binti yake..akaenda kufanyiwa interview..
..Na majibu...
Trump administration officials were reportedly notified Wednesday night that a cafeteria worker on the White House grounds has tested positive for the Coronavirus.
The employee worked at a cafeteria in the Eisenhower Executive Office Building, located just across West Executive Avenue, which...
Habari!
Katika kipindi kifupi kijacho, rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kulihutubia taifa la Marekani kulingana na vyanzo kutoka Ikulu ya White House huku ajenda kuu ikiwa ni masuala ya ubaguzi wa rangi pamoja na umoja wa kitaifa.
Jambo jingine linalotarajiwa kuzungumziwa zaidi na...
Wafanyakazi wa Ikulu ya White House wameagizwa kuvaa barakoa wakati wanapoingia jengo la ofisi zake zinazofahamika kama -West Wing, baada ya wasaidizi wawili kupatwa na virusi vya corona.
Wafanyakazi wa White House wamesema kuwa wahudumu wote lazima wavae barakoa wakati wote isipokua wanapokua...
Ukaidi wa Trump kuhusu kuchukua hatua za kuzuia kuenea kwa coronavirus as stipulated by WHO, CDC umeifikisha Ikulu yake (White House) kuwa hot zone ya maambukizi!
The spread of the virus in the White House complicates Trump’s push to reopen the country.
Even with the number of deaths in the...
Dkt. Deborah Birx amesema, mbali na Rais Donald Trump kuchukua uamuzi wa kufanya watu wasikaribiane hadi Aprili 30, bado kuna hatari ya watu wengi kufariki katika nchi hiyo
Dkt. Birx ni Mratibu wa Kitengo cha Ikulu cha #CoronaVirus, kilichoanzishwa Februari 23, kujibu kuhusu masuala ya #Covid19...
Nimefutilia mataifa mbalimbali kupitia mitandao naona madaktari na wakemia wakitaja dawa mbalimbali katika ugunduzi wa tiba ya Corona lakini Tanzania naona fofofo.
Sasa najiuliza pale Muhimbili University na Bugando mnajifunza kuosha vidonda tuu? Au ni vyuo vya ujenzi wa Maghorofa?
Hivi...
Yaweza kuwa kuna watu wamekata tamaa na maisha ya kisiasa kwa sababu ya umri mkubwa au wengine wanashindwa kuthubutu kwa sababu ya umri mdogo.
Kijana fuata moyo wako nenda katimize ndoto zako.
Trump aliingia White House ana 70yrs, Obama akatoka na 55yrs, Sanders anataka kuingia na 78yrs.
Kuna habari zinazosemekana kuwa mzee Makamba na Abdulrahman Kinana (makatibu wakuu wa zamani CCM) wanaweza kuhojiwa na kamati ya maadili CCM leo hii jumatatu ya tarehe 10 February, 2020.
Hii ni baada ya wazee hao wakongwe wa chama hicho kuwachomesha mahindi wajumbe wa kamati ya maadili kwa siku...
President Uhuru Kenyatta and US President Donald Trump when they met in the Oval Office at the White House in Washington on August 27, 2018. [File, Reuters]
President Uhuru Kenyatta will today meet US President Donald Trump hours after the latter was acquitted by the US Senate following a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.