wife material

  1. M

    Kielimu, wife material aweje na atoke profession Gani!?

    Ova Utafanya naye mapenzi bure bila hela...Mtajuana na kutambulishana kwa wazazi huyo mwingine Acha longoLongo sema una shilingi ngapi Wanamaanisha ukioa usafi wa nguo zako hata boksa utamkabithi yeye bila malipo anapiga kila siku asubuhi na jioni Wanamaanisha Anatunza nyumba yenu kwa usafi...
  2. Eli Cohen

    Kicheche anageuka wife material pale anapokuwa ni sexy na mesmerizing. Bandidu anageuka attractive pale anapokuwa na pesa na ushawishi

  3. Sisa Og

    Hela ndiyo Kigezo cha Wife Material

    Nawasilimu wana JF Kwakweli tangu niliposhuhudia dem anaomba hela kwa boy wake anapewa halafu na yeye anaenda kumtoa lunch boy wake, basi niliumia sana. Njia pekee ya kuniach ni simple, niombe hela yani hapo napoteza interest. Katika harkati zangu za kutafuta wife material, nikakutana na huyo...
  4. F

    "Wife Material" Mcha Mungu - KARIBU

    HABARI ZENU NDUGU ZANGU 🙏 Najitokeza kwenu, na kwa kumshirikisha Mungu kuwa natafuta mwanamke wa kujenga nae familia pamoja. Kama kuna mwanamke ambaye anaji-consider yeye mwenyewe kuwa ni "WIFE MATERIAL NA PIA ANA HOFU YA MUNGU" ( after evaluating herself) na ana uhitaji wa "MUME" na sio...
  5. G

    "Wife material" ukichunguza kwa tafsiri ya wanaume walio wengi maana yake ni mwanamke "zoba"

    Kwa tafsiri ya wanaume wengi, "wife material" ni mwanamke ambaye: 1. Mume akichepuka asiseme chochote. 2. Mume akichelewa kurudi anaseme hewala. 3. Mume akiondoka bila kuaga anasema poa tu, Ila yeye kuondoka bila taarifa ni kosa. 4. Kazi ya kupika, kufua, na kusafisha nyumba ni jukumu lake...
  6. GENTAMYCINE

    Wanawake wa mikoa ya Mpanda, Kigoma, Rukwa na Ukerewe Mwanza ni 100% Wife Material

    Leo Kazi ipo hapa, ila ukiona GENTAMYCINE kaja na Jambo hapa jua kwa 101% liko kweli na nimeshalifanyia sana Utafiti.
  7. mdukuzi

    Mnaobabaika na wanawake wa Kitutsi kuna kitu hamkijui, wale sio wife material

    Mara kadhaa humu JF huwa naona comment za wadau wakisifia wanawake wa kitusi Nawaambia ukweli ndugu zanguni wale sio wife material, sijaishi Rwanda waka burundi ila hao wanawake wamejaa kuanzia Kahama, Ushirombo, Runzewe, Ngara, Karagwe, Biharamulo, hayo maeneo nimevuruga sana nilichobaini ni...
  8. realMamy

    Sifa za Wife Material

    Baadhi ya sifa za mwanamke ambazo zinaweza kumfanya kuwa "wife material" ni pamoja na: 1. Uaminifu: Kuwa mwaminifu na kuaminika katika uhusiano. 2. Upendo na Huruma: Kuwa na uwezo wa kujali na kusaidia mwenzi wako katika nyakati za shida na furaha. 3. Kujali: Kuwa na uwezo wa kujali na...
  9. W

    Tabia za wanawake kutoka makabila mbali mbali kwenye vigezo vya utafutaji, wife material, pisi kali, maisha ya ndoa, mapishi, support, n.k

    N:B..Vipimo ni wastani / Average katika kundi kubwa, hatuangalii moja moja kwamba Kuna mzaramo flani ulimkuta hapendi ngoma, kuna wachaga uliwakuta nyumba flani hawapenda pesa, n.k. Pisi kali – Ni kweli nchi ina pisi kali kila kona lakini komesha ipo kwa Wanyaturu wa Singida, Wa iraqw tuliozoea...
  10. Sheillah Sheillah

    "Wife material" kindakindaki nina salamu zenu

    Mume wako anakuambia mke wangu leo tutoke tukapate hata dinner nje, wewe unajidai wife material unamwambia mtapoteza hela bora mpike nyumbani. Siku nyingine anakuambia mtoke hata mkamwagilie moyo kidogo kama kawaida wife material unakataa unamwambia ni bora mnunue mmwagilie nyumbani. Unamwambia...
  11. mdukuzi

    Hakuna wife material mwenye miaka zaidi ya 25 ambaye hajaolewa

    Tena hapo nimeongeza umri kuwaonea huruma wale wa mjini. Kwa kijijinini miaka 20 tu,hujaolewa wewe sio wife material Jipange
  12. G

    Ukioa kwa kigezo cha wife material, kuna siku utaona aibu hata kutoka naye out

    Mke atakuwa anajibidisha sana kwa kila kitu lkn moyoni atakuwa hayumo kabisa, na hata "moto atakuwa hauwashi". Ataonekana kama mjomba tu. Jamani ndoa Ina raha kama umeoa pisi inayouwehusha moyo ukiitazama. Na hata ukitoka nayo out inakuinulia hadhi na kukufanya ujione wewe ni mwanaume kati ya...
  13. Nyanda Banka

    Zuchu ni true definition ya wife material

    Zuchu hajajichubua, hajaweka kalio la plastic, hajachora tatoo, havuti shisha wala kunywa pombe Ukimpata kama yeye Oa chap masta
  14. Dr Matola PhD

    Kama unataka wife material kwa maana ya tendo la ndoa basi oweni Wazaramo mtafurahia ndoa zenu

    Licha ya kwamba tumekuwa tukiwaponda sana Wazaramo kwa tabia za kupenda ngoma na shughuli na mafiga matatu lakini leo wacha niwaeleze sifa za wanawake wa Kizaramo. Hawa mademu wa Kizaramo wana sifa kuu mbili ambazo mwanaume yeyote anazihitaji, kwanza wanajua mapishi hasa ya nazi na pili kubwa...
  15. Pang Fung Mi

    Hakuna mwanamke wife material ukiona ametulia ujue amekupata na anasubiria kujipata ili ujipasue akili

    Sina haja ya kusema mengi sana ukweli ndio huo kama mnavousoma hapo juu, hakuna kitu kinaitwa mwanamke wife material hakunaga, ukihisi umempata ujue kabisa umepatikana. Akijipata ndio utajua kwanini Yesu yuko mbinguni ila shetani katulia kimpango wake toka enzi hapa duniani. Tuendelee n...
  16. Aramun

    Kwa wale ambao hawajawahi kuwaona "Wife Material" ndiyo kama hawa

    Mke kama huyu kwanza muda wa kutoka nyumbani kwenda mihangaikoni ukifika unaanza kuwaza unaondokaje? Mke kama huyu huwezi hata kucheat, ukitaka kucheat nafsi inakusuta na unaona kabisa unachofanya ni kosa. Mke kama huyu ni baraka kubwa ndani ya nyumba, na hakika ana uwezo wa kumfanya mwanaume...
  17. K

    Natafuta mke wa kuoa

    H
  18. Kaka yake shetani

    Source code ya mahari kubwa ishara unayemuoa sio wife material kwa dunia hii

    Habarini wana JF na mvua za hapa na pale. Jana tumetoka kutoa mahari tukimsindikiza jamaa mmoja ila tulipofika mimi sikujua mahari ila kwa vile sio mambo yangu pale kwenye mahari ilikuwa ndogo kulingana na kipato chake kama alivyokadiriwa. Asilimia kubwa za familia ukiona unawekewa mahari kubwa...
  19. S

    Mchumba (wife material) ambaye hawezi kuendesha hata genge kwasabb kutoa chenji hawezi. Je, anafaa kuwa mke?

    Mteja wangu kaniandikia ujumbe ufuatao:- "Kungwi nina mhumba wangu kakulia hapa hapa mjini, siyo mshamba wa mji. Lkn shule aliishia form 2D (nadhani unajua uwezo wa kiakili wa wanafunzi wanaowekwa stream D). Hakuweza kuendelea baada wazazi wake kufariki. Mchumba huyu ana sifa zote, tatizo lake...
  20. F

    Mke mwema anahitajika

    Sifa zangu Elimu: degree Kazi: nimejiajiri (phone accessories) Mahali Kanda ya ziwa Umri: 30 Dini: pentecoste SIFA ZA MKE Elimu: kuanzia form 4 Umri: chini ya 30 Dini: mkristo akiwa na vocal ya kuimba itapendeza zaidi Awe mrembo na mwenye shepu yakuvutia NOTE: ASIWE NA MTOTO KABILA LOLOTE...
Back
Top Bottom