Habari wapendwa wote hapa jukwaani.
Najitokeza kutafuta mke wa maisha yangu. Natamani kuwa na familia bora yenye upendo na furaha. Familia bora huanza na mama bora, pamoja na majukumu thabiti ya baba kujali na kutunza / kuhudumia familia yake, bado nafasi ya mama bora kujenga umoja na upendo...
Chaguo ni lako dada. Amua uishi maisha duni kama mama na bibi yako kwa kupewa sifa za kijinga kuwa wewe ni wife material ama utafute hela kwa nguvu zote.
Wenzako hatutaki kufa kwa stress, tunastarehe na hela tunapata. Amua moja kutumika na mjinga mmoja unayemuita mumeo ama kutumika na wenye...
Nimechunguza ndoa za ndugu zangu wengi walionizidi umri, utakuta mama anakwambia mumewe hakuwa kwenye mawazo yake, Alimpenda kijana mwingine, ila imetokea tu ameolewa na mume alie naye sasa baada ya mumewe kuhaso kumpata.
Wengine waliolewa kupunguza ugumu wa maisha/kwa kuangalia kipato cha...
Muhimu: Sifa ya kabila flani huwa haimaanishi ni watu wote bali ni umaarufu wa kuwa na wawakilishi wengi kiasi cha kusifika, hivyo haimaanishi kwamba wanawake wote wahehe / wabena ni wife material,
Naomba tuelewane sifa hizi ni za kwenye maisha ya ndoa, huwezi fananisha uchumba wa sekondari /...
Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu JF lakini kwa uchunguzi wangu mke bora hayupo JF, wanawake wengi wapo JF kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa.
Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana JF mpaka wakaoana, na kuwa na familia kabisa, mtakaonijibu mje na ushaidi...
Mtu unayempenda akikuacha inauma.
Hasa pale unapokumbuka jinsi ulivyompenda na mlivyokua na furaha. Usiku huwa ni mrefu sana. Ukiwa bado huamini kama ndo mmeshaachana(umeachika) na unaona huna matumaini tena ya kumpata kama yule uliyempenda sana.
Unachoka zaidi pale unapofikiria kuanza upya...
Kwanza kabla ya kuangalia sifa za mwanamke, angalia sifa zako kwanza kisha ujitathmini kama unastahili kuwa mwanamke mwenye sifa hizi.
Ni muhimu kumpima mwanamke uliyenaye kama anafaa kuwa nawe maishani. Sio uwe naye sababu ndio mwanamke aliyekuonesha upendo.
Ndio maana wakati wa uchumba...
Wazungu wanasema " you will never miss your water untill your well gets/become dry, yaani umuhimu wa maji huja baada ya kisima kukauka.
Nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza wa masomo yangu katika moja ya chuo kikuu hapa nchini niliwahi bahatika kupata " a well raised woman '' unfortunately...
Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba.
Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko.
Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea.
Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu.
Tukaenda...
Salaaam...
Kwanza kabisa niwe mkweli tu mie nimechakata sana hawa watoto, ila kuna dem mmoja nlikutana nae mtaani nikiwa likizo miaka ya nyuma kdg ), tukazoeana na ndo nikawa nna mpango aje awe mzazi mwenzangu (sio ndoa aisee, kuzaa nae tu tulee hadi tutakapochokana). Nlimchagua yeye kwa sababu...
Itatimia wakati flani ambapo utahitajika kuoa. Na kuoa huwa kuna harakati zake. Mtu hafai kuingia katika mpango wa ndoa bila ya kutambua yule ambaye ataona naye.
Ikija katika maswala ya kuoa, utaskia wengi wakitumia maneno kama wife material ama mke bora. So utamtambuaje mwanamke ambaye ni wife...
Je Wewe utaoa /kuolewa au utaoana na mwenza wako wa maisha? Maisha yamebadilika Sana zamani ungesikia, mwanamke akisema "huyu ni mume wangu, nimeolewa miaka mitano iliyopita ".Sasahivi utasikia "kuanzia tuoane 🤔ni mwaka sasa "!Je wewe ni muumini wa mrengo upi?
Mfumo wa haki sawa (feminism)...
Nimekuwaa nikitafakarii sana na kufanya uchunguzi kuhusiana na dhana ya "Wife material" Nimekuja kunguduaa kuwa wanawake wote ambao Wana akili timamu ni wife material inategemeana tu na Mwanaume aliyemuoa,,Wife material wa mwanaume X kutoka mkoa X hawezii kuwa Wife material akiolewa na Mwanaume...
"A good woman is not one size, women say"
"Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua.
Wasichana wanakumbushwa kwamba sifa inayotamaniwa zaidi na wanaume ni aina ya 'wifey material'...
Pamoja na kuzurura koote nikadondokea babati mjini nikakutana na binti age 22, binti fulani Mwenye asili ya kigoma but baba yake kazaliwa hapo babati na mama ake pia,
Aisee binti anazo sifa zote za kua wife material mda mwingi amekulia kwa bibi yake maana wazazi wake wako endasaki (ni mji...
Ma legends,
Nimepata changamoto ya kusafiri na huyu wife material!
Changamoto ninayopitia ni kuwa kila tukianza safari ya utalii wa ndani, huwa tunaanza kwa pamoja, kanda ya kaskazini. Tunapotoka kanda ya kaskazini mimi huwa niweke pozi kanda ya ziwa. Hapo nitakaa muda kadhaa nikirukaruka...
Nahitaji mdada aliye siriasi kabisa na mahitaji ya kuwa mke wa mtu:
Sifa zangu:
Miaka 40
Elimu : shahada ya kwanza
Dini : mkristo ( mkatoliki)
Kazi : mtumishi wa umma pia mjasiriamali
Location : Dar Es salaam
Mchumba awe angalau na sifa hizi
1. Awe mkristo ispokuwa msabatho
2. Umri kuanzia...
Habari Wakuu
Hivi umegundua kwanza wanawake ambayo ni wife material hawako romantic kabisa yaani ata kukuita darling, my love ni ishu yaani[emoji23][emoji23].
Na wana aibu hao ata mkiwa kwenye kitanda mara nyingi wanafunga macho hawapendi kuiangalia kabisa wala kuishika[emoji23][emoji23] na...
Habarini Wakuu!
Siku ya Jana imepita kuna wale ambao mlikaa kama magogo siku nzima na kuna sisi ambao Jana ilikua siku Special[emoji7] ila kikubwa Uzima na tupo hapa. Nirudi kwenye kitu ambacho nataka tujadili. Kila siku hili swali hua najiuliza. Hivi ni kweli Kuna Wife Material yani yule Mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.