Wazaramo na wandengereko sasa wamefikiwa, mambo ya kula vitoto vya miaka 12 sasa basi !
Ila bwana DC Magoti kuna swali huku, ni utamaduni wa Wazaramo na wandengereko msichana akifika miaka 12[kuvunja ungo] anachezwa ngoma na anafundishwa na kungwi namna ya kufanya mapenzi, je na hili nalo la...