A
Anonymous
Guest
Utunzaji wa Mazingira ni wajibu wa kila mmoja ikiwa maeneo yanayozunguka Halmashauri ni machafu hivi na miongoni mwa Taka zinazo tupwa nje hovyo zinatokea ndani ya Halmashauri Je! Jamii inawezaje kuhamasika juu ya utunzaji mazingira ?
Kwa ujumla Hali ya usafi wa Mazingira ni mbaya kwa Kisarawe na viongozi wapo wanaliona hili. Hii ni hatari kwa Afya.
Kwa ujumla Hali ya usafi wa Mazingira ni mbaya kwa Kisarawe na viongozi wapo wanaliona hili. Hii ni hatari kwa Afya.