Utunzaji wa Mazingira ni wajibu wa kila mmoja ikiwa maeneo yanayozunguka Halmashauri ni machafu hivi na miongoni mwa Taka zinazo tupwa nje hovyo zinatokea ndani ya Halmashauri Je! Jamii inawezaje kuhamasika juu ya utunzaji mazingira ?
Kwa ujumla Hali ya usafi wa Mazingira ni mbaya kwa Kisarawe...
Anonymous
Thread
halmashauri
kisarawe
kutunzamazingiramazingira
wilaya ya kisarawe
Wakuu
Kanuni za maadili ya uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani za mwaka 2025 inakataza kubandika mabango, michoro na matangazo kwenye makazi ya nyumba, majengo au vyombo vya usafiri vya watu binafsi au taasisi mbalimbali bila idhini ya wamiliki husika.
My take
Hivyo tutakapotoa hiyo...
Bajeti Kuu ya Mwaka 2025/26 imesomwa. Bei ya gesi inaendelea kushuka, jambo linaloashiria mwelekeo chanya wa nishati safi.
Kwa kuzingatia azma yetu ya kulinda na kuhifadhi mazingira, napendekeza kuwa katika Bajeti ya Mwaka 2026/27, ushuru wa magari yaliyotumika (used cars) upandishwe, huku...
Huwa naumia sana roho nikiona jinsi maliasili zinavyoteketea vijijini huku yule aliyetakiwa kusimamia akiwa ndiye kinara wa uharibifu huo. Hawa vijana wanaokuwa recruited kila mwaka sijui wanapelekwa wapi masikini. Wala sitaki kuingilia utendaji wa serikali lakini ninachoona ni kwamba mfumo wa...
Katika kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru, mikoa mbalimbali nchini imejitokeza kushiriki shughuli za kutunza mazingira, ikiwemo kufanya usafi na kupanda miti.
Mkoani Morogoro, Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu kwa kushirikiana na Kikosi cha Mazao Mzinga na wadau wa mazingira wamepanda miti 7,000...
Wananchi kote Nchini wametakiwa kuendelea kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya zao sambamba na kutunza mazingira.
Wito huo umetolewa Oktoba 10, 2024 Wilayani Bukombe Mkoani Geita na Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA)...
Serikali imewataka wananchi kuepuka kutupa majokofu ya zamani na vifaa vya kuzima moto vyenye kemikali zinazoharibu Tabaka la Ozoni au kuongeza joto duniani. Aidha, wananchi wanashauriwa kuepuka kuingiza nchini gesi zilizopigwa marufuku na vifaa vinavyotumia gesi haribifu kama vile majokofu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.