N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,308
- 12,812
Bajeti Kuu ya Mwaka 2025/26 imesomwa. Bei ya gesi inaendelea kushuka, jambo linaloashiria mwelekeo chanya wa nishati safi.
Kwa kuzingatia azma yetu ya kulinda na kuhifadhi mazingira, napendekeza kuwa katika Bajeti ya Mwaka 2026/27, ushuru wa magari yaliyotumika (used cars) upandishwe, huku ushuru kwa magari yanayotumia umeme (EVs) ukishushwa.
Lengo ni kuwahamasisha Watanzania kuagiza magari ya umeme kwa wingi zaidi kama njia ya kupunguza uchafuzi wa mazingira unaosababishwa na magari yanayotumia mafuta ya petroli na dizeli. N’yadikwa