Wilaya zinazopakana na Mlima Kilimanjaro zinajulikana kwa kuwa na vyanzo vya maji, lakini hali ni tofauti kabisa katika maeneo ya ukanda wa chini wa Tarakea, Wilaya ya Rombo.
Tatizo la ukosefu wa maji katika eneo hili limekuwa la muda mrefu. Tangu utotoni hadi sasa nimefikia utu uzima, lakini...