A wilayah (Arabic: ولاية, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.
Hatimaye zimefika siku 4 bila ya umeme wilayani Kaliua huku meneja wa wilaya na mkoa wakitoa tangazo limesababishwa na kuanguka nguzo 10 zilizopo mbugani.
Kwanini Serikali inalea watumishi wazembe hivyo?! Meneja wa TANESCO mkoa Tabora pamoja na wilaya ya Kaliua wapaswa kuwajibika.
Nguzo kumi...
Mama na bibi yule alikokwenda amekuta umeme au Yuko gizani kama sisi huku Chunya?
Tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi tarehe 24.1.2024 hakuna umeme.
Rais anajisikiaje huku Indonesia alikoenda nasi tuko gizani na kazi zimesimama?
Ameacha makonda na viongozi wachache wakisema kura Kwa mama...
Mkuu wangu kwanza nakupongeza kwa unavyokuwa karibu na watu wako
Pili nisisahau niombe tu najua umefika Mto Kawe maeneo ya makazi mapya umeona yale mateso ya Watuu na maafa yake
Mkuu wangu wa wilaya mchanga umejaa maji yanasimama yanasomba nyumba za watu
Maji yanahitaji njia, tukuombe watu...
Nimemfuatilia sana Upendo Peneza. Ni kiongozi anayetumia akili sana, na amekuwa tofauti na Chadema wengi wanaokurupuka.
Ni msomi wa haja, madigirii yamejaa kichwani, ana hekima kubwa sana.
Natamani mama ampe majukumu makubwa sana serikalini. Pamoja na hayo, kama anapenda siasa, apewe nafasi...
National Defense College (NDC) watembelea Wilaya ya Ludewa
Washiriki wa kozi ya Ulinzi na Usalama ambao ni wanakozi kutoka katika vyombo vya Ulinzi na Usalama na taasisi mbalimbali za mataifa 8 Duniani, ikiwemo wenyeji Tanzania ambao wapo mafunzoni katika Chuo Cha Taifa cha Ulinzi (National...
Video zikionyesha baadhi ya athari zilizotokana na Mvua kubwa ya mawe iliyonyesha Mkoani Kilimanjaro, Wilaya ya Hai Tarafa ya Machame Mashariki.
Jogoo mbegu Hannah TODAYS
Ndugu, katika pitapita kwenye magroup ya wahangaikaji, nimekuta mtu anasema kilimo cha parachichi (aina ya fuerte) kinastawi Wilaya ya Urambo Tabora...Vipi kuna ukweli??
asante
Ngara
Januari 10, 2024
TAARIFA YA KUPOKEA TZS 1,816,000,000.00 KWA AJIRI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO - Ngara.
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO anawatangazia wananchi wote kuwa, DKT SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametuma fedha tajwa...
Hii Barabara ina Kibao cha ujenzi wa Lami tangu enzi za JPM. Lakini mpaka sasa haieleweki lini litafanyika zoezi hilo. Barabara inaendelea kuharibika kila kukicha kutokana na mvua za kila siku.
Barabara hii ndio inatumika na wafanya biashara wa Dagaa mjini Mwanza wanapoenda kurangua Dagaa kwa...
Amekuwa akishirikiana na waendesha mashitaka wa TANAPA kubambikizia kesi watu wasiokuwa na hatia kisha kuomba rushwa kubwa.
Watu wanabambikiziwa kesi kuwa ni wahujumu uchumi kwa kufanya uvuvi haramu kisiwa cha Rubondo na kisha kuombwa rushwa. Malalamiko yapo ofisi za PCCB wilaya ya Chato lakini...
Rushwa imekita mizizi katika jamii. Bob Chacha Wangwe, baada ya kutangaza kwamba atagombea ubunge Tarime Mjini mwaka 2025. Amemueleza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya kwamba "ana soda kidogo kwa ajili ya wajumbe" .
Kwa maoni yangu, naona hiyo ni rushwa kwa kuwa hiyo soda inatolewa kwa wajumbe baada...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo, amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makando kando na kujenga mshikamano kuakikisha CCM inashika dola.
MNEC Khamis Hamza Chilo alisema hayo kata ya Ilala katika mkutano mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya chama...
Mkoa midogo sana kieneo ni Kilimanjaro naa Dar.
Ki eneo Wilaya ya Misungwi+Ilemela = Kilimanjaro MZIMA.
Ki eneo Mwanza ni Sawa na Dar 27 kwa pamoja. Yaani ukiunganisha eneo la Dar Mara 27 ndo unapata Mwanza moja.
Dar 70= Rukwa 1.
Dar 75= Tabora moja
Habari,
Naomba mtusaidie kuizungumzia kero yetu hii ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hususani Idara ya Elimu.
Na hii imekuwa kama kero sugu. Afisa Elimu amekuwa na kawaida ya kuwahamisha walimu vituo vya kazi na ukiomba ulipwe kwa kuwa amekuhamisha yeye atakuzungushwa muda mrefu mpaka mwisho...
Anonymous
Thread
habari
kazi
vituo
vituo vya kazi
wafanyakazi
wao
wilaya
Wakuu hii kitu ya moto sana, gharama za kuinunua hii chuma ni sawa na hospitali ya Wilaya (pamoja na Assets zote) huko BUHIGWE. Hakika duniani wapo viumbe (akiwemo Mstaafu) wanafurahia maisha.
NB: Tupeleke watoto CHIPUKIZI aisee. Haya mambo ya kukomaza Komwe ufaulu NECTA sijui SUA ndo uje...
Habarini wadau,
Naomba kufahamishwa kuhusu shule za awali katika wilaya ya Kahama.
Kuna kaka yangu anataka kumpeleka mtoto wake wa kike kusomea hapo.
Mtoto ana umri wa miaka 4 na ½
Naomba kuwakilisha
Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya.
Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa!
Umeme umekuwa anasa!
SIsi watumishi walimu tuliwasilisha fomu zetu za likizo tangia mwezi wa 11 mwanzoni, ila mpaka tarehe ya leo hatujalipwa wakati likizo imeshafikia nusu.
Tunaomba mkurugenzi atueleze likizo tunaendaje? Kwanini amekalia pesa zetu na hataki kutulipa.
Mchengerewa wewe ni jembe tegemeo la Rais...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kimkakati ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa.
Akitembelea miradi mbalimbali DC Victoria amesema kuwa Lengo la ziara hii ni kuhakikisha kuwa Wana-Ludewa wanapata huduma ya Maji bora, safi, salama na yenye kutosheleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.