Jana tarehe 23, majira ya saa tatu usiku nilifika hospitali ya Malawi - Yombo, (yenye hadhi ya kiwilaya - ni referral hospital katika ukanda wa temeke) nikiwa na kijana wangu mdogo ambae alikuwa na homa, huduma zikawa zimesimama kwa kinachoelezwa umeme hauko sawa katika majengo ya mapokezi...