A wilayah (Arabic: ولاية, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe Asisitiza kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Singida inapaswa kuwa na Mradi ambao utasaidia katika Ukusanyaji wa mapato ili kuinua Uchumi wa Halmashauri hiyo.
Pia, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe...
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi amewataka Maafisa Ugani na Maafisa Watendaji wa Vijiji kuhakikisha wanawafikia Wakulima ili kuendelea kutoa elimu ya kilimo bora.
Mkuu wa Wilaya hiyo, Onesmo Buswelu ameyasema hayo wakati Kikao cha Maendeleo cha Wilaya kilichohusisha Watumishi wa...
Hii Nchi sijui tunaelekea wapi.Walimu zaidi ya 100 wameenda semina ya kusimamia Mtihani wa kitaifa wa Kidato cha nne unaotaratijia kuanza November 13, 2023.
Cha ajabu karibu walimu 54 mpaka sasa hawajapata barua kujua vituo watavyosimamia huku Mafsa Elimu kata wakiwa kimya. Hao hao maafsa Elimu...
Kuna tetesi zinatembea "chini ya kapeti" kwamba Musiba anaweza kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya katika hizo Wilaya tata kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Tega sikio
NAIBU Waziri anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais-TAMISEMI , Mhe Dkt. Festo Dugange amesema Serikali katika mwaka wa fedha wa 2023/24 imetenga kiasi cha Sh Milioni 900 kwa ajili ya ukarabati wa Hospitali Kongwe ya Mbozi.
Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu...
Hayo maeneo ni vijiji vya ajabu kabisa. Ni aibu kuiita miji. Yaani maisha ni duni na ya kale sana.
Sikuwahi kujua kwamba Tanzania ina maeneo yapo nyuma kiasi hiki katika maendeleo.
Baadhi ya sehemu unapita vumbi na unakuja kukutana na lami uchwara pale wanapoita katikati ya mji.
Safari ya...
Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi.
Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM.
Cha kushangaza zaidi leo jumapili...
Seif Gulamali (Mb) Tunaishukuru Serikali ya Chama cha Mapinduzi inayoongozwa na Dr . Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani kwa kutupatia fedha kutoka Serikali Kuu kutekeleza Miradi Mbalimbali Jimboni
1. Ujenzi wa vyumba 3 vya Madarasa Ziba secondari Milion...
Habari wana JF,leo napenda niongelee ubabaishaji wa halmashauri zetu kwenye kuwapa stahiki zao waajiriwa.
Tunakumbuka mwezi wa 6 mwaka huu 2023 serikali iliajiri watumishi wapya kada ya afya na elimu na pia ikasisitiza wapewe fedha za kujikimu.
Napenda nipongeze kwa halmashauri zote ambazo...
Habarini wana Jamvi,
Nina ratiba ya kwenda Wilaya ya Nachingwea kwa Kazi ya miaka kama miwili.
Kwa wanayoijua vizuri naomba experience yenu kuhusu hii wilaya kuhusu fursa zilizopo, Aina ya maisha ya pale, Gharama za maisha kama malazi na chakula,sehemu nzuri za kupumzika weekend na kucheki...
Ni kweli kwamba kuna shida ya umeme Tanzania ila wilaya hii inaongoza kwa kukatiwa umeme, unaweza kuona siku nzima hakuna umeme au umeme unaletwa usiku wa manane nao sio zaidi ya masaa matatu au manne.
Kinachonishangaza halmashauri ya Makambako na Mbeya mjini umeme unakuwepo but hii halmashauri...
naomba kutumia mfano wa makinda ya ndege au watoto wa nguruwe!
ukipita kwenye banda ukakuta pako kimya ujue vinanyonya!
kila kimoja kinanyonyo lake mdomoni kinakamua!
Hivi ndivyo ilivyo kwenye vyeo vinavyogongana maslahi kama hivi.
TWENDE PAMOJA KWA SABABU ZIFUATAZO!
Vyeo hivi vya Mkurugenzi...
Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita amefunga Safari kwenda China kujifunza namna ya kuendesha mji huo, jambo ambalo limeleta maswali mengi kwa wananchi kwa matumizi mabaya ya Pesa za walipa kodi ambao kimsingi ndio wananchi.
Hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Geita Mh. Cornell Magembe ameiagiza...
Habarini wapendwa.
Nina kiwanja maeneo ya vikawe wilaya ya kibaha chenye ukubwa wa sqm 686 na ramani ya jengo nishachorewa na architecture yenye chumba master, sebule, choo public na baraza ya mbele na nyuma sasa wadau nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi zikoje na gharama zake...
Wakandarasi karibu wote wa Mkoa wa Mara tumepata mateso makubwa kutokana na vitendo vya rushwa vinavyoendekezwa na Mameneja hawa. Kwanza kupata kazi lazima utoe millioni tano. Bila millioni tano hupati kazi.
Pili, kama ukiwa umepata kazi lazima utoe asilimia 10 ya malipo yako kama rushwa...
Wilaya ya Rorya imeanzisha program ya kuwafikia Wananchi Vijijini inayoitwa 'POPOTE TUNAKUFIKIA' ambayo imelenga kusogeza huduma karibu na Wananchi ambao hutembea umbali mrefu kufata huduma.
Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka amesisita wataendelea kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya...