wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. 6 Septemba 2023 hali ni Tete Wilaya ya Kyela

    Ikiwa ni siku 3 kupita tangu waziri mwenye dhamana kuwahadaa wananchi kuwa Tanzania kunamafuta ya kutosheleza. Ikiwa ni siku 2 kabla ya mwenge wa uhuru kumulika wilaya ya kyela. Naomba kutoa taarifa juu ya kinachoendelea kyela 1. Zaidi ya wiki mbili sasa mji wa kyela hauna umeme. 2. Ni siku...
  2. Maajabu ya Wilaya ya Lushoto

    Maajabu sio lazima kuwe na mastori ya kutisha ambayo asilimia kubwa ni uongo mfano mzungu akija huku afrika akaona kulivyo kuchafu, dis-organized vumbi kila sehemu atastaajabu sana Haya kwangu ni maajabu Wengi wa watu wakisikia Wilaya ya Lushoto wanapata picha ya haraka haraka kwamba wenyeji...
  3. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa Mfuatilie DC wa Wilaya ya Chunya

    DC huyu haonekani ofisini, hasikiliza kero za wananchi, Kinyume chake amebadili gia angani sasa ni mchimbaji mdogo na anamiliki maduara na makarasha ya kusaga dhahabu kwenye maeneo ya wachimbaji wadogo na kwenye hifadhi ya misitu TFS.
  4. Serikali Iko Mbioni Kujenga Ofisi ya OCD Wilaya ya Kaliua

    SERIKALI IKO MBIONI KUJENGA OFISI YA OCD WILAYA YA KALIUA Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Jumanne Sagini akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Bungeni, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi amekiri kuwa Serikali katika mpango wake wa miaka 10 wa kujenga vituo vya Polisi ngazi ya Wilaya...
  5. T

    Malalamiko kuhusu pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya Halmashauri ya wilaya ileje

    Habari za leo wakuu, Moja kwa moja kwenye mada, pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya zimefika wilayani ileje yapata wiki mbili Sasa, hili lilithibitishwa na katibu ofisini ya DMO kupitia kundi lao la WhatsApp (idara afya). Lakini hadi leo pesa hizo hazijalipwa kwa wahusika na kila wakihoji...
  6. U

    DOKEZO Wilaya ya Uyui inalazimisha Walimu kuchangia michango ya Mwenge

    Wilaya ya Uyui inalazimisha waalimu kuchangia michango ya Mwenge na Mwalimu asiyechangia wanamuwajibisha. Pia, imesisitiza Walimu na Wanafunzi kuwepo shuleni kipindi chote cha mpumziko mafupi kwa ajili ya mapokezi ya Mwenge. Pia, Mkurugnzi kanunua vitenge vyake na amevisambaza kwa Waratibu...
  7. Meatu: Aliyekuwa Mbunge wa CCM ahamia CHADEMA

    Taarifa kutoka kwenye Oparesheni 255, ambayo iko Shinyanga zinaeleza kwamba, Mbunge wa Viti Maalum na Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Meatu amehamia CHADEMA. Usajili huo Mpya umefanyika katika Mkutano Mkubwa wa hadhara uliofanyika Meatu . TOA MAONI YAKO
  8. Kinana Mgeni Rasmi Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Wilaya ya Hai

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Ndugu Abdulrhamn Omar Kinana anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Hai ambao Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe atawasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM kuanzia Oktoba 2020 - 2023. Mkutano wa CCM Wilaya ya...
  9. Hiki ndicho kilimponza Mkuu wa Wilaya Mtwara, Msabaha. Viongozi acheni dharau, cheo ni dhamana

    Msabaha sijamuonea huruma. Alikataa kuwapa hela Wanakijiji wa Lyowa na akataka Shule ijengwe Muungano huko Mtwara kwa hela alizoleta Samia Suluhu. Kwanza aliwapa masharti Wananchi wajenge wenyewe Madara matano ili kuwapima kama wanahitaji kweli shule. Wananchi wakachangishana wakajenga...
  10. Nashauri Pascal Mayalla ateuliwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara

    Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote. Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi. Napaza sauti yangu...
  11. DED na DC wa Wilaya ya Mtwara Waliohamisha Mradi Hawafai Kukaa Ofisini: Rais Dkt. Samia Amechukua Hatua Sahihi kwa muda sahihi

    Nakupongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya uamuzi wa kuwatimua kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya (DED) na Mkuu wa Wilaya (DC) wa Wilaya ya Mtwara, kufuatia maamuzi yao ya kuhamisha mradi kutoka kata moja kwenda kata nyingine kutokana na...
  12. Samia kama Magufuli wakuu wa wilaya na ma-DED roho juu!

    Rais Samia amewatimua kazi DC na DED wa wilaya ya Mtwara baada ya wananchi wa kata moja kurudisha kadi za CCM kwa sababu ya kuhamisha mradi uliokuwa ujengwe kata hiyo kuhamishiwa kata nyingine kisa uwepo wa wanachama wengi wa vyama vya upinzani. DC na DED walihamisha mradi wa maendeleo...
  13. R

    Wana CCM wakirejesha kadi na kujiunga upinzani mkuu wa wilaya na Mkoa hana kazi; mbinu gani DC/RC watazitumia kudhibiti CCM kujiunga upinzani?

    Rais amemfukuza kazi mkuu wa wilaya na Mkurugenzi kwa kile kinachodaiwa wana CCM wamerejesha kadi na kujiunga upinzani; amesema hatoweza kuvumilia kuona wanaccm wanahama chama. Kauli hii ni nzuri kisiasa ila ngumu kwa wakuu wa wilaya na mkoa kwa sababu sababu za kuhama chama ni sababu binafsi...
  14. Rais Samia amtimua Hanafi Hassan Msabaha, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara kisa wananchi kurudisha Kadi za CCM

    Hii nimeiona ITV habari. Mama kakasirika mkuu wa wilaya kufanya uzembe kwa wananchi kurudisha kadi za chama kisa Mtwara wengi ni upinzani. My Take: Tuendelee kupambana! ========= Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kumuondoa kazini Hanafi Hassan Msabaha wakati akifunga mafunzo ya uongozi kwa...
  15. J

    TARURA kuondoa vikwanzo mtandao wa barabara za Wilaya

    TARURA KUONDOA VIKWANZO MTANDAO WA BARABARA ZA WILAYA Wakala wa barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umesema maeneo ya kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2023/24 ni Kuondoa vikwazo kwenye mtandao wa barabara za Wilaya ili angalau ziweze kupitika misimu yote. Hayo yamesemwa na mtendaji Mkuu...
  16. Mbunge Martha Mariki Achangia UWT Milioni 2 na Mifuko 60 ya Saruji Ujenzi Nyumba za Makatibu UWT Wilaya ya Mpanda na UWT Mkoa wa Katavi

    MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya Simenti kwaajili ya Kusaidia Ujenzi wa Nyumba za watumishi wa UWT Wilaya ya Mpanda na UWT mkoa wa Katavi. Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya...
  17. Uongozi UWT Taifa Waridhishwa na Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Kaliua

    MWENYEKITI UWT AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYA YA KALIUA Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Mary Chatanda Ametembelea Hospital ya Wilaya ya Kaliua na kuridhishwa na Ujenzi wa Hospital hiyo ambapo ametoa wito Kwa Wananchi na Viongozi kuishi vizuri na...
  18. Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Akagua Ujenzi wa Hospitali Wilaya ya Itigi

    MAKAMU MWENYEKITI UWT TAIFA ZAINAB SHOMARI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI. Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa, Zainab Shomari ameipongeza Serikali ya awamu ya 6 kwa kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Itigi iliyopo Kata ya Tambuka reli...
  19. Mbunge Cherehani Achangia Madirisha 15 Ujenzi Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Kahama

    MBUNGE CHEREHANI AKABIDHI MADIRISHA 15 (MILIONI 4) KUKAMILISHA NYUMBA YA KATIBU WA UWT WILAYA YA KAHAMA Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe.Dkt Emmanuel Cherehani amekabidhi Madirisha 15 yenye thamani ya TZS. Milioni 4,162,000/- kukamilisha nyumba ya Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Wilaya...
  20. Visima 10 vya Maji Kuchimbwa Wilaya ya Kaliua

    VISIMA 10 VYA MAJI KUCHIMBWA WILAYA YA KALIUA, KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI Taarifa kutoka Ofisi ya Meneja RUWASA Wilaya ya Kaliua imethibitisha kuwa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora Imepokea Mitambo ya kuchimba Visima Kumi (10) ambavyo vitasaidia kumshusha Mama Ndoo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…