A wilayah (Arabic: ولاية, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru Agosti 11, 2023 amekabidhi kiasi cha fedha cha Shilingi Milioni 10 kwa ajili ya Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini ikiwa ni sehemu ya ahadi aliyoahidi ya kuchangia ujenzi wa nyumba hiyo.
Akikabidhi fedha hizo kwa...
MBUNGE CONDESTER SICHALWE AKABIDHI MAGODORO 30 (MILIONI 2.5) KWA WANAWAKE UWT WILAYA YA MOMBA
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe tarehe 26 Julai, 2023 amekutana na Wanawake wa UWT Wilaya ya Momba na kuwakabidhi Magodoro 30 yenye thamani ya Shilingi...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva, ametembelea kwenye mabanda mbalimbali kwenye maonesho ya Nane Nane 2023, Mkoani Mbeya Lengo ni kuzidi kubadilishana mawazo, uzoefu na ujuzi haswa kwenye sekta ya kilimo.
Wilaya ya Ludewa- imeshiriki kikamilifu kwenye maonesho ya Kilimo ya...
MBUNGE MZERU AWAPA TABASAMU UWT WILAYA YA MOROGORO MJINI.
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru amekabidhi Cherehani ya kudarizi yenye thamani ya shilingi 500,000 katika Uongozi wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini.
Makabidhiano hayo yamefanyika 02 Agosti, 2023 katika Ofisi ya...
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar, Rashid Simai Msaraka amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Sekondari ya Forodhani kwa lengo la kufanya msako wa Wanafunzi wanaotumia shisha zinazotumia umeme pamoja na simu.
DC huyo amefika Shuleni na kuamuru Wanafunzi wote washushwe parade na...
Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi
MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki ametoa Mifuko 50 ya Simenti kwaajili ya Kusaaidia Ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi [CCM] Wilaya ya Mlele.
Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
NANE NANE MBEYA 2023
KARIBUNI BANDA LA WILAYA YA LUDEWA
Maonyesho ya Kilimo - Nane Nane 2023 yafunguliwa leo tarehe 01.08.2023 katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya ambapo mgeni rasmi wa sherehe hizo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango...
Jamii Forums naomba muwafikishie taarifa kwa Mkurugenzi wa EWURA kuwa wiki ya tatu hatuna mafuta ya Petrol katika Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya.
Nauli zimeanza kupanda, sehemu yakwenda kwa buku sasa hivi ni buku mbili hadi shilingi 2,500.
Kwani kuna nini kinachoendelea wakati kila siku Waziri...
Ahsante mkurugenzi wa wilaya Uyui kwa kutuletea mkuu mpya kutoka shule X ukamleta shule Y,lakini mkuu Huyu amekuwa na matatizo lukuki kuanzia utendaji wake mpaka mwenendo wake. Huyu alitolewa X baada ya kusababisha matatizo makubwa kipindi Cha usimamizi wa mtihani.
Kashfa kubwa...
Wakuu maisha ni kushare love.
Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo.
Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta Kama Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
Wilaya ya Mbarali ina fursa jumuishi nyingi Sana lakini kubwa...
MHE. CONDESTER SICHALWE AFANYA MKUTANO NA WAKULIMA WA KIJIJI CHA NKALA, MOMBA
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe na Afisa Kilimo wamekutana na wakulima wa Kijiji cha Nkala na kuwasisitiza kuhudhuria mafunzo ya Kilimo yanayotolewa na Maafisa Kilimo...
Katika Mji wa Bariadi Makao makuu ya Mkoa wa Simiyu, mapema Leo Asubuhi kumekumbwa na Changamoto ya upatikanaji wa Mafuta ya Petroli.
Nimetembelea vituo vya Mafuta 8 ambavyo vimekuwa vikitoa huduma ya mafuta ambapo vituo vyote 7 havina Mafuta huku kituo kimoja tu Total Energies ndicho chenye...
📍 Maguguni, Igunga
Habari Picha: Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kwa nyakati tofauti akimsikiliza Afisa Mtendaji wa Kata ya Mtungulu Bw. Fredrick Mihayo akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya Kata inayochanganua utekekelezaji wa miradi ya maendeleo kwenye Sekta ya Elimu...
Kwa masikitiko makubwa Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya hakuna umeme leo ni siku ya 7.
Na uongozi wa TANESCO mkoa na Wilaya wakiulizwa wanasema ulizeni makao makuu ya Tanesco.
Mwenye namba ya simu ya makao makuu ya TANESCO tafadhali.
=============
UPDATES...
Mkurugenzi Huduma kwa Wateja...
Fuatilia yanayojiri kwenye Kikao cha Wajumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Wahariri wa vyombo vya habari, leo Julai 20, 2024.
Kikao hiki kinafanyika Ikulu ya Dar es Salaam.
Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inaongozwa na...
MBUNGE JULIANA SHONZA AWAPIGA MARUFUKU WANAOTAPELI WAJANE WILAYA YA MBOZI
"Wanaibuka watu, badala ya kuwasaidia na kuwaunganisha wajane wao wanafanya kuwatapeli na kuwafilisi wajane. Nilipolisikia hilo nimelifuatilia sana, niliwasiliana na viongozi wanaohusika na Masuala ya wajane Wizarani...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew leo tarehe 14 Julai, 2023 ameendelea na zoezi la Ugawaji wa fedha za miradi ambapo amefanikiwa kukutana na kuwakabidhi Wajumbe Wote wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kutoka Kata 18 zilizopo Wilayani Urambo.
Tukio...
MBUNGE JACQUELINE KAINJA NA WANAWAKE (UWT) WILAYA YA KALIUA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 13 Julai, 2023 ameendelea na zoezi la Ugawaji wa fedha za miradi ambapo amefanikiwa kukutana na kuwakabidhi Wajumbe Wote wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake...
Mhe. Juliana Daniel Shonza, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Songwe Kata ya Magamba na kufanya Mkutano wa Hadhara na kuchangia kikundi vya wanawake wajasiriamali katika shughuli zao za kiuchumi.
Mhe. Juliana Shonza akiwa Kata ya Magamba Wilaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.