Mtangazaji wa Milele FM, Wilbroda, amemkosoa Rais William Ruto kuhusu namna anavyowasilisha hotuba zake, akimtaka kuacha kuwakumbusha watu mara kwa mara kuwa yeye ndiye Rais na Amiri Jeshi Mkuu.
Katika kauli iliyomlenga Ruto, ambaye pia humtaja kama Baba Charlene, Wilbroda amehoji kwa nini Rais...