will smith

  1. BARD AI

    Bad Boys 4 inakuja, Will Smith na Martin Lawrence kukutana tena

    Kama wewe ni shabiki wa Filamu za Bad Boys, jiandae kwa ujio mwingine wa #BBIV. Jarida la #Variety limeripoti ujio wa Filamu hiyo na tayari iko katika utayarishaji wa awali kupitia kampuni ya Sony Pictures. Mastaa hao wameweka wazi taarifa ya kurejea kwa mwendelezo wa filamu hiyo baada ya...
  2. Lady Whistledown

    Will Smith azuiwa kuhudhuria Sherehe za Oscars kwa miaka 10

    Will Smith hataruhusiwa kuhudhuria Tuzo za Academy kwa miaka 10 ijayo, kutokana na kumpiga kibao mcheshi Chris Rock jukwaani wakati wa sherehe ya mwaka huu ya Oscar, The Academy of Motion Pictures imetangaza "Bodi imeamua, kwa muda wa miaka 10 kuanzia Aprili 8, 2022, Bw. Smith hataruhusiwa...
  3. Lady Whistledown

    Hatma ya Will Smith Kujulikana tarehe 8 Aprili 2022

    Bodi ya Magavana ya Chuo cha Sanaa na Sayansi ya Picha Motion imesogeza tarehe iliyopangwa ili kuamua kuhusu uwezekano wa vikwazo dhidi ya Will Smith kwa kumpiga kofi Chris Rock kwenye sherehe za tuzo za Oscar mwaka huu. "Ninaitisha mkutano wa bodi kwa Ijumaa asubuhi, Aprili 8, saa 9:00 asubuhi...
  4. The Mongolian Savage

    Will Smith asitumiwe tena kuwakilisha mbuga zetu

    Baada ya kumzaba Kibao Chris Rocks hadharani kwenye hafla ya Oscar Will Smith hana sifa na hadhi ya kuwakilisha na kutangaza Mbuga zetu iwe Bure, hiari, kujitolea ama kulipwa. Video zote alizopiga Serengeti na vivutio vingine nchini ziondolewe au kufutwa. Hii itasaidia zaidi kuitangaza nchi...
  5. Lady Whistledown

    Hatimaye Academy yaanza taratibu za kumchukulia Will Smith hatua za kinidhamu

    Ikiwa ulidhani kwamba sakata la kofi lililotikisa 'dunia nzima imekwisha, hakika umekosea. Siku chache baada ya Will Smith kumpiga Chris Rock bila kutarajia katika tuzo za Oscar za mwaka huu—Academy imeanza rasmi kesi za kinidhamu dhidi yake…na Will anaweza kukabiliwa na matokeo mabaya sana...
Back
Top Bottom