william lukuvi

William Vangimembe Lukuvi (born 15 August 1955) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ismani constituency. At present, he is the Minister for Lands, Housing and Human Settlement Development. He completed Masters of Arts in Political Science at Open University of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Lukuvi: Barabara ya Pawaga mpaka Izazi kujengwa kwa kiwango cha lami hatua kwa hatua

    Imeelezwa kwamba barabara ya Pawaga mpaka Izazi imewekwa katika mpango wa kujengwa kwa kiwango cha lami hatua kwa hatua ili kurahisisha shughuli za mawasiliano na kuchochea shughuli za uchumi kwa wananchi wa Isimani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi William Lukuvi (Mb) Isimani wakati...
  2. Pre GE2025 Rais Samia atoa ambulance kituo cha afya, Lukuvi aikabidhi. Ni mwendo wa kujifanya mwema tu kipindi hiki!

    Wakuu, Ni mwendo wa kujisafisha sasa hivi na kujifanya mwema na mwenye huruma mpaka kieleweke. ===== Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa gari jipya la kuhudumia wagonjwa lenye usajili wa STN 3638 kwa Kituo Cha Afya cha Migoli ili kuendelea kurahisisha na kuboresha utoaji wa...
  3. LGE2024 Iringa: Lukuvi kutoa Tsh. 500,000 kwa kijiji kitakachoongoza kuandikisha wananchi Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Tumefikia huku, watu tumekuwa wazito kushiriki kwenye shughuli za uchaguzi na siasa kwa ujumla mpaka ka hela kahusike! === Mbunge wa jimbo la Isimani ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi ameahidi kutoa zawadi kwa vijiji vitatu...
  4. L

    Pre GE2025 William Lukuvi Akoshwa Na Uchapakazi wa Rais Samia. Ataka Apewe Mama Kuongoza Hadi 2035

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa William Lukuvi Amekoshwa na uchapa kazi wa Rais Samia katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM pamoja na kasi ya ukamilishaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Ambapo Mheshimiwa Lukuvi ambaye awali alikuwa mshauri wa Rais wetu Mpendwa katika masuala...
  5. B

    Waziri Lukuvi afungua maonesho ya mifuko ya uwezeshaji fursa kwa Wananchi Singida

    WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe William Lukuvi akizingumza wakati akifungua maonyesho ya saba ya mifuko na programu za uwezeshaji wananchi kiuchumi mkoani Singida leo Septemba 10, 2024. NA MWANDISHI WETU – SINGIDA. WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu...
  6. Kuwarejesha Lukuvi na Profesa Kabudi ni kuwakosea vijana

    Wazee kama hawa akina Lukuvi na Kabudi wameshafanya kazi za kutukuka kwenye taifa letu. Walitakiwa wawe wameshazalisha vijana wenye uwezo, mawazo na maono kama wao. Lakini kama hawajazalisha vijana wengine mpaka Leo wanaoweza kuchukua nafasi zao sio sawa. Hata Kama waliteuliwa walipaswa kusema...
  7. U

    Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi waelekea ziarani Ngorongoro

    Wadau hamjamboni nyote? Hatimaye Mawaziri Vigogo ya Serikali ya Rais Samia ambao ni Profesa Kabudi, William Lukuvi na Kamishna wa mafunzo Jeshi la polisi Awadhi wakutana na Paul Makonda na kufanya kikao kizito na Kamati ya Usalama ya Mkoa Arusha. Waziri wa Katiba na Sheria Profesa...
  8. J

    Ujio wa Lukuvi ( Bunge), Prof Kabudi ( Katiba) na Makonda ( Utawala Bora) kunaifanya CCM kukamilika Idara zote kuelekea 2025

    Kama unabisha shauri Yako. Hapo anasubiriwa Dr Bashiru na Komredi Polepole kutusukia Ilani ya Ushindi wa kishindo. Kwa kifupi Kazi imeisha Siasa ni Sayansi πŸ˜‚πŸ˜‚ Pale Bungeni ndugu Lukuvi ataweka kila kitu sawa. Huku kwa akina Mwabukusi na Matata sasa watakutana na nguli mwenyewe wa Katiba Prof...
  9. D

    Ahsante Rais kuwarudisha Palamagamba Kabudi na William Lukuvi: Luhaga Mpina ana la kujifunza

    Ahsante Rais wetu kumteua Kabudi, Kabudi ni miongoni mwa binadamu wenye akili sana, watanzania wenye akili kubwa ni pamoja na Sospeter Muhongo, Kitila Mkumbo, Palagamamba Kabudi, William Lukuvi. Hawana makuu ni watulivu, utapenda wakichangia. Hongera Rais tumefurahi wananchi wako.
  10. William Lukuvi na Profesa Kabudi bado wapo Ikulu?

    Wakati Rais akiwaapisha viongozi aliowateua, alisema aliwaacha Kabudi na Lukuvi kwa lengo la kuwavuta jirani naye kwa lengo la kumsaidia kazi maalum Ikulu. Ilionekana kama hayo majukumu yangekuwa mazito zaidi na ya heshima zaidi kuzidi ya uwaziri. Hii ni kwa sababu walikuwa wawe "viranja" wa...
  11. Lukuvi kutumika kama alivyotumika Musukuma?

    Hili ni swali. Naungana na bwana Pascal Mayala kuwa swaki siyo statement. Ukitaka kummaliza adui yako ni vizuri umpate kibaraka wa kupandikiza kwa adui yako. Unasikia huko Ukraine, makamanda kadhaa wa kirusi wa ngazi za juu walivyouawa kwa makombora ya Ukraine. Hatujawahi kusikia makamanda...
  12. Wapo wapi William Lukuvi na Palamagamba Kabudi?

    Wanabodi salama? Mwamba Lukuvi na Kabudi wako wapi? Bungeni wanaonekana kweli? Au wanaendelea kutoa ushauri ikulu post walizopewa na mama?
  13. Adaiwa kutumia jina la William Lukuvi kujipatia Tsh. Milioni 2.1

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mtu mmoja aliyejifanya kutumia jina la aliyekuwa Waziri wa ardhi,William Lukuvi na kwamba amemtuma na kuendesha mafunzo ya ujasiriamali visivyo halali Mkoani Kilimanjaro katika ukumbi wa polisi Moshi na kujipatia Tsh. Milioni 2.1 kwa wanafunzi...
  14. J

    Nimeupenda huu mfumo wa Rais Samia kuwatumia Wakongwe Prof Kabudi, Mkuchika, Lukuvi na Wassira kwa Kazi maalumu. CCM sasa haina mshindani!

    Huu utaratibu ni mzuri sana. Kwenye mambo ya kimataifa na mikataba nyeti unamkuta Prof Kabudi Ukija kwenye Ulinzi na Usalama unamkuta mzee Mkuchika Utawala wa ndani unamkuta mzee Lukuvi Kule kwenye Siasa za Maridhiano utamkuta Nguli la siasa za Bongo Komredi Wassira Mungu wa mbinguni...
  15. Rais Samia alisema Profesa Kabudi na William Lukuvi watafanya kazi Ikulu, imeishia wapi?

    Haya wazee wa maji ya bendera njooni hapa mtudanganye tena, shida uongo wenu mnadanganyana, mpaka wenyewe kwa wenyewe haya sasa mbona hatuwaoni white house au Zuhura Yunus Kawa Kabudi. Mama alikuwa hazitaki hizi njemba ndo maana alipoona tetesi za Lukuvi kuchukua form ya uspika ikabidi ateme...
  16. Mamlaka za uteuzi tafadhali mturudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi

    Waliokalia hii wizara moyo wa nchi wako wapi hatuwaoni wakihangaika na migogoro iliyosheheni wizara hii bali tunaanza kuona rejuvination ya viongozi wakiandamana na wale watu waliojitokeza awamu ya nne na kujitwalia maeneo makubwa makubwa bila kujali wanyonge waganga njaa. Kwa awamu ya sita...
  17. H

    Ukiukwaji wa taratibu na ushamba Bungeni katika Uchaguzi wa Spika wa Bunge

    UKIUKWAJI NA USHAMBA BUNGENI UKIUKAJI: Lukuvi, Mb na Mwenyekiti wa Kikao cha Bunge cha Uchaguzi wa Spika ameruhusu Wabunge kukiuka Taratibu za Uchaguzi na akatetea ukiukaji huo. Mosi, wakati Mwenyekiti anasema kuwa hakuna tatizo Mpiga Kura kutoa fedha kwa Mgombea wakati wa kujieleza; anajuaje...
  18. Rais Samia, tungependa kama ulivyokuwa mwepesi kutolea ufafanuzi suala la Ndugai, Kabudi na Lukuvi basi hata kuungua kwa Masoko kuwa pia mwepesi

    GENTAMYCINE nawaomba tu hao 'Team Mikakati Awamu ya 6' wajitahidi kwa sasa kubadili Mbinu za Kuungua 'Kimkakati' kwa 'Masoko Makubwa' nchini kwani kwa sasa hata Mtoto Mdogo ameshajua kuwa nia ni 'Kuwakomoa' Wamachinga waliokuwa Wakipendwa na Hayati na pia kuruhusu Ujenzi mpya wa Masoko ili Watu...
  19. Rais Samia, kwa hili la Kabudi na Lukuvi, ungetumia staili ya Mkuchika

    Mheshimiwa Rais; Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano; Mhesihimiwa, sijui mshauri wako ni nani katika kuteua baraza la mawaziri ambalo umelitangaza juzi ila ulichofanya kuhusu Ndugai, Kabudi na Lukuvi kwa kweli inabidi nikupe ushauri wa haraka. Kwanza kabisa Hawa watu watatu hasa Kabudi...
  20. Hongera Lukuvi, kazi yako tumeiona

    Salam! Naweza kusema Mh. William Lukuvi ni miongoni mwa viongozi wachache walioweza kusifiwa kwa utendaji wao angali wakiwa hai Jana baada orodha ya mawaziri waliochwa kwenye baraza la mawaziri kutoka nimeona kwenye mitandao ya kijamii na huku mtaani watu wengi wakiumia sana kwanini mh Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…