Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Jasiri muongoza njia na Shujaa wa Afrika anakwenda Kuongoza Maelfu ya Waombolezaji Kuaga Mwili wa Mheshimiwa William Lukuvi Viwanja Vya Karimjee Dar es salaam.
Mheshimiwa Lukuvi Aliaga Dunia baada ya Kuugua Maradhi ya Moyo .
Soma Pia: Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia
Endelea kufuatilia Kupitia vyombo mbalimbali vya habari ambavyo vitakuwa Mubashara.
Kwa wale waliopo Dar es salaam mnaweza kusogea Maeneo hayo ya Karimjee Kutoa heshima za Mwisho kwa Mheshimiwa Lukuvi Ambayo amekuwa katika Utumishi kwa miaka mingi sana.