Februari 8, 2019 Tundu Lissu pamoja na aliyekywa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi, walichuana vikali katika mahojiano yaliyofanyika VOA, kuhusu suala la shambulio la risasi dhidi ya Lissu na uchunguzi wake.
Lissu alieleza kuwa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge ilifanya...