KUMBUKIZI | Tundu Lissu na Balozi Masilingi walivyokabiliana vikali VOA kuhusu Shambulio la risasi na Uchunguzi wake

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Februari 8, 2019 Tundu Lissu pamoja na aliyekywa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi, walichuana vikali katika mahojiano yaliyofanyika VOA, kuhusu suala la shambulio la risasi dhidi ya Lissu na uchunguzi wake.

Lissu alieleza kuwa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge ilifanya uchunguzi wa shambulio hilo kufuatia agizo la Spika, lakini ripoti hiyo iliondolewa kwenye ratiba ya Bunge na kuzimwa kabisa.

Mwamba safari yake ya moto sana
 
Masilingi alitaka kurusha ngumi hii siku😅
 
Huyubalozi bure kabisa, et " akufa sasa" analeta hisia kwenye mambo ya msingi
 
Februari 8, 2019 Tundu Lissu pamoja na aliyekywa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi, walichuana vikali katika mahojiano yaliyofanyika VOA, kuhusu suala la shambulio la risasi dhidi ya Lissu na uchunguzi wake.

Lissu alieleza kuwa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge ilifanya uchunguzi wa shambulio hilo kufuatia agizo la Spika, lakini ripoti hiyo iliondolewa kwenye ratiba ya Bunge na kuzimwa kabisa.

Hili swali kilikuwa gumu sana kwa Mh Balozi Masilingi
 
Sijui liko wapi hilo li masilingi. Viongozi wetu wamejaa kichama Zaidi.
 
Februari 8, 2019 Tundu Lissu pamoja na aliyekywa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi, walichuana vikali katika mahojiano yaliyofanyika VOA, kuhusu suala la shambulio la risasi dhidi ya Lissu na uchunguzi wake.

Lissu alieleza kuwa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge ilifanya uchunguzi wa shambulio hilo kufuatia agizo la Spika, lakini ripoti hiyo iliondolewa kwenye ratiba ya Bunge na kuzimwa kabisa.

ok.🐒
 
..uchunguzi umefikia wapi?

..Ccm sio watu wa kuwatetea mpaka kuweka rehani heshima yako.

..Sijui Mzee Masilingi anajisikiaje kutetea madhalimu wa Ccm, na uchunguzi aliodai utafanyika, tunaelekea mwaka wa 10 hakuna majibu.
 
Kuna nyingine amemkaba koo kipindi akiwa AG ni hatari bungeni Lissu ni hatari Masaju nao ni Jaji mkuu Lissu yuko jela mwenyekiti wa Chadema taifa hawa tunaweza kusema wanafahamiana vizuri na Masaju anajua ni kiboko kwenye Upande wa sheria nahisi hata hao mawakili wa serikali Masaju anajua kwamba hawamwezi Lissu kisheria wanamsumbua tu kuna kipindi Chenge na Lissu bugeni walibaki wanatunga baadhi ya sheria na kubadili vifungu wanasheria wote bungeni Kimya Makinda anamuuliza Chenge anachosema Lissu ni sawa ni sahihi Chenge anaitikia ndio Lissu yuko sahihi Lissu ni Gwiji kwenye Sheria
 
Back
Top Bottom