Februari 8, 2019 Tundu Lissu pamoja na aliyekywa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi, walichuana vikali katika mahojiano yaliyofanyika VOA, kuhusu suala la shambulio la risasi dhidi ya Lissu na uchunguzi wake.
Lissu alieleza kuwa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge ilifanya...
Wakuu,
Nimekutana na interview hii ya Tundu Lissu BBC akiongelewa tukio lake la kupigwa risasi.
Kitu interesting kuhusu hii interview ni namna ambavyo Masilingi alishindwa kupambana na hoja za Tundu Lissu.
Masilingi alikuwa mpole kama piritoni kwenye hii interview baada ya kupigwa spana za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.